Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Seneta Rand Paul: Marekani ni kinara wa kusambaza habari za uongo duniani

    Seneta Rand Paul: Marekani ni kinara wa kusambaza habari za uongo duniani

    May 06, 2022 08:01

    Seneta wa chama cha Republican, Rand Paul amesema serikali ya Marekani ndiyo kinara wa kueneza habari za uongo katika historia ya dunia.

  • Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia

    Kuongezeka upinzani barani Ulaya dhidi ya kuwekewa vikwazo vya mafuta Russia

    May 05, 2022 22:07

    Licha ya vitisho vya Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia katika fremu ya kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya nchi hiyo, lakini jambo hilo linaonekana kukabiliwa na upinzani mkali barani humo na hata baadhi ya viongozi wa Marekani kutoa onyo dhidi ya hatua hiyo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani apata corona

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani apata corona

    May 05, 2022 02:17

    Matokeo ya vipimo vya corona yanaonyesha kuwa Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameambukizwa maradhi ya Covid-19.

  • Ufyatuaji risasi mjini Chicago wapelekea watu 8 kuawa na wengine 16 kujeruhiwa

    Ufyatuaji risasi mjini Chicago wapelekea watu 8 kuawa na wengine 16 kujeruhiwa

    May 02, 2022 01:30

    Ikiwa ni katika mwendelezo wa vuruga na ufyatuaji risasi wa kiholela nchini Marekani, matukio kadhaa ya ufyatuaji risasi yameripotiwa mwishoni mwa wiki mjini Chicago ambapo watu wasiopungua wanane wameuawa na wengine kumi na sita kujeruhiwa.

  • Nation of Islam: AU ikate uhisiano na utawala wa Kibaguzi wa Israel

    Nation of Islam: AU ikate uhisiano na utawala wa Kibaguzi wa Israel

    Apr 30, 2022 03:49

    Mwakilishi wa kimataifa wa harakati ya Umma wa Kiislamu nchini Marekani amesema kuwa, Umoja wa Afrika unapaswa kuwaondoa mabalozi wake wote katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021 licha ya kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu

    Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021 licha ya kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu

    Apr 26, 2022 23:19

    Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021, mwaka huo huo ambao ulishuhudia ongezeko kubwa la visa vya ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.

  • Putin ailaumu CIA kwa kuchoche kuuliwa waandishi wa habari wa Russia

    Putin ailaumu CIA kwa kuchoche kuuliwa waandishi wa habari wa Russia

    Apr 26, 2022 03:02

    Rais Vladimir Putin wa Russia amelilaumu shirika la kijasusi la Marekani CIA kwa kuwachochea wanajeshi wa Ukraine kuwaua waandishi wa habari wa Russia.

  • Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China

    Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China

    Apr 24, 2022 21:48

    Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.

  • Iran: Marekani iachane na siasa zake za kibeberu na kupenda makuu

    Iran: Marekani iachane na siasa zake za kibeberu na kupenda makuu

    Apr 23, 2022 02:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuachana na siasa zake za kupenda makuu katika mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea mjini Vienna Austria na iyaangalie mazungumzo hayo katika uhalisia wake.

  • Russia yawawekea vikwazo Makamu wa Rais wa Marekani, Mkuu wa Meta

    Russia yawawekea vikwazo Makamu wa Rais wa Marekani, Mkuu wa Meta

    Apr 22, 2022 22:09

    Serikali ya Russia imetangaza kuwawekea vikwazo makumi ya shakhsia wa Marekani akiwemo Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Kamala Harris na Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Meta (Facebook) Mark Zuckerberg.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS