-
Waziri wa Fedha wa US akiri hadharani: Tulisababisha uhaba wa dola ndani ya Iran ili kuchochea machafuko
Feb 07, 2026 23:00Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Kenneth Homer Bessent amekiri kuwa, Washington ilisababisha uhaba wa sarafu ya dola ya nchi hiyo ndani ya Iran, hatua ambayo ilisababisha kushuka kwa kasi kwa thamani ya sarafu ya Iran ya riali na kuibua mashinikizo ya kiuchumi yaliyochochea machafuko ya Desemba mwaka jana.
-
Wimbi jipya la vikwazo dhidi ya Iran; Trump awalenga washirika wa kibiashara wa Iran
Feb 07, 2026 22:53Trump amesaini dikrii kwa ajili ya kuwatoza ushuru washirika wa kibiashara wa Iran.
-
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lakaribisha mazungumzo ya Iran na Marekani
Feb 07, 2026 08:25Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi limetangaza kuwa, limekaribisha kwa mikono miwili mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani yaliyofanyika Muscat Oman.
-
Araghchi: Iran inaingia kwenye mazungumzo 'ikiwa makini'
Feb 06, 2026 03:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema Tehran inaingia katika duru mpya ya mazungmzo ya kidiplomasia na Marekani ikiwa hadhiri, makini kabisa na "kwa macho yaliyo wazi."
-
Lengo jipya la mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika
Feb 05, 2026 03:38Kamandi ya Marekani barani Afrika (AFRICOM) imetangaza kupeleka kikosi kidogo cha kijeshi cha Marekani nchini Nigeria na hivyo kwa mara ya kwanza kukiri rasmi kutumwa wanajeshi wa Marekani katika nchi hiyo ya Afrika.
-
Araghchi: Iran, US kufanya mazungumzo ya nyuklia Muscat
Feb 04, 2026 23:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi ametangaza kwamba mazungumzo ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yanatazamiwa kufanyika katika mji mkuu wa Oman, Muscat kesho asubuhi.
-
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Feb 04, 2026 07:25Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa madai hayo hayana msingi wowote.
-
Kwa nini Marekani inafuatilia sera ya "mazungumzo na vitisho kwa wakati mmoja" dhidi ya Iran?
Feb 03, 2026 07:49Utawala wa Rais Donal Trump wa Marekani umekuwa ukifuatiilia sera ya "mazungumzo na vitisho" kwa wakati mmoja dhidi ya Iran.
-
Pompeo aanika nafasi ya US katika ghasia za karibuni nchini Iran
Feb 02, 2026 23:41Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Mike Pompeo, amekiri kwamba, Washington ilikuwa na mchango wa moja kwa moja katika ghasia za hivi karibuni nchini Iran, akisema Marekani "iliwasaidia moja kwa moja" wafanya fujo.
-
US yaidhinisha kuiuzia silaha Israel za $ bilioni 6.6 zikiwemo inazotumia kuulia Wapalestina
Jan 31, 2026 22:57Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 6.67 kwa utawala wa kizayuni wa Israel wakati huu ambapo kuna usitishaji mapigano unaolegalega katika vita vya mauaji ya kimbari vilivyoanzishwa na utawala huo haramu dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza.