-
Biden amtusi mwanahabari aliyemuuliza swali kuhusu mfumko wa bei
Jan 25, 2022 04:16Rais Joe Biden wa Marekani ameendelea kushambuliwa hususan katika mitandao ya kijamii kwa kitendo chake cha kumtukana vibaya mwandishi mmoja wa habari ambaye alimuuliza suali kuhusu mfumko wa bei za bidhaa unaoshuhudia nchini humo.
-
Gharibabadi: Siasa za kupambana na ugaidi za Marekani hazijawa na natija yoyote ghairi ya kuuwa raia
Jan 24, 2022 04:45Kazem Gharibabadi Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu ambaye pia ni Mkuu wa masuala ya kimataifa wa Idara ya Mahakama ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa twitter kwamba siasa za kupambana na ugaidi za Marekani hazijawa na natija yoyote ghairi ya kuuliwa raia na kubomolewa makazi yao.
-
80% ya Wamarekani: Ugaidi wa ndani ni tishio kubwa kwa Marekani
Jan 23, 2022 23:11Akthari ya wananchi wa Marekani wanaamini kuwa, ugaidi wa ndani ya nchi ni tishio kubwa kwa taifa hilo.
-
Askari wa Marekani walijificha Abu Dhabi baada ya shambulio la jeshi la Yemen dhidi ya Imarati
Jan 23, 2022 04:27Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la kigaidi la Marekani CENTCOM amekiri kuwa, askari wa jeshi hilo walikimbilia mafichoni kwa kuhofia uwezekano wa jeshi la Yemen kuishambulia tena Imarati, kufuatia shambulio la makombora na ndege zisizo na rubani za jeshi hilo katika mji wa Abu Dhabi.
-
Mchambuzi wa Kimarekani: Marekani inakaribia kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
Jan 23, 2022 04:25Mchambuzi na mtaalamu wa taaluma ya siasa na masuala ya vita vya ndani nchini Marekani amesema, nchi hiyo inakaribia zaidi kuingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe kuliko inavyodhaniwa.
-
China yasema Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia
Jan 22, 2022 23:10China imetahadharisha kuwa Marekani ni tishio kubwa zaidi kwa usalama wa dunia kutokana na maghala yake makubwa ya silaha angamizi za nyuklia.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 21, 2022 23:09Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
Mwakilishi wa Iran UN asifu maendeleo 'muhimu' ya kuwawezesha wanawake nchini licha ya vikwazo vya Marekani
Jan 19, 2022 07:16Iran imepongeza mafanikio makubwa yaliyopatikana hapa nchini katika kuwawezesha wanawake na wasichana, licha ya vikwazo vya Marekani vilivyo kinyume cha sheria na vya kinyama vinavyolenga nchi hiyo.
-
Wall Street Journal: Iran inataka dhamana ya kisheria ili Marekani isijitoe tena katika JCPOA
Jan 18, 2022 03:52Jarida la Wall Street Journal limeripoti kuwa, Iran inataka ipatiwe dhamana ya kisheria ili Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.
-
Khatibzadeh: Mambo muhimu bado yamebakia katika suala la kuondolewa vikwazo Iran
Jan 17, 2022 11:37Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, masuala muhimu na ya kimsingi katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna Austria bado yamebakia ambapo panahitajika maamuzi maalumu ya kisiasa hususan kutoka upande wa Marekani.