-
Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani
Jan 14, 2026 03:16Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji wakubwa zaidi wa Wairani.
-
Afrika yakosoa hatua ya Trump ya kuiondoa US katika taasisi za kimataifa
Jan 14, 2026 03:15Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Mahmoud Ali Youssouf ametoa wito wa kuimarishwa mifumo ya pande nyingi ili kushughulikia changamoto za kimataifa, siku chache baada ya Marekani kuchukua uamuzi wa upande mmoja wa kujiondoa katika taasisi mbalimbali za kimataifa.
-
Wakazi wa Greenland: Hatutaki kuwa Wamarekani
Jan 14, 2026 02:56Akthari ya wakazi wa eneo la Greenland wamesema wanahofia kwamba Rais wa Marekani, Donald Trump atatekeleza kivitendo tishio lake la kulitwaa eneo hilo, wakisisitiza kuwa katu hawataki kuwa raia wa Marekani.
-
Misri 'yakaribisha' kuwekwa Ikhwani katika orodha ya magaidi ya US
Jan 14, 2026 02:52Serikali ya Misri imepongeza hatua ya Marekani ya kuitambua rasmi Harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kuwa ni shirika la kigaidi.
-
Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka 'kuvijaribu'
Jan 13, 2026 07:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kuchukua hatua za kijeshi sambamba na Iran kukabiliwa na machafuko hivi karibuni yaliyochochewa na kuungwa mkono na maadui wa nje ya nchi.
-
Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani
Jan 13, 2026 06:59Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao si kutaka ufanyike uingiliaji wa kijeshi wa madola wageni dhidi ya nchi yao. Hayo yameelezwa na wataalamu kadhaa wa kikanda.
-
Uingiliaji kati wa Marekani nchini Iran; mfano wazi wa kuyumbisha usalama na kuhimiza vurugu
Jan 12, 2026 09:21Iran imeeleza malalamiko yake makali dhidi ya kauli za Marekani za uingiliaji kati katika barua yake kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Iran yatangaza siku tatu za kuwaomboleza waliouawa shahidi katika jinai zilizochochewa na US na Israel
Jan 12, 2026 03:09Serikali ya Iran imetangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya kuwakumbuka waathiriwa, wakiwemo askari wa vikosi vya usalama na wa jeshi la kujitolea, ambao wameuliwa shahidi na wafanyaji fujo na vurugu wanaoungwa mkono na Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel, waliojaribu kuteka nyara maandamano ya amani ya wananchi ya kulalamikia hali ya uchumi nchini.
-
Waziri Araghchi aanika nafasi ya Marekani, Israel katika ghasia za Iran
Jan 11, 2026 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amezionya vikali Marekani na utawala haramu wa Israel juu ya matokeo mabaya ya uchochezi na uungaji mkono wao kwa wafanya fujo na wazua rabsha hapa nchini, akisisitiza kuwa Washington na Tel Aviv zinataka kuyageuza maandamano ya kiuchumi ya wananchi wa Iran kuwa machafuko na ghasia.
-
Waziri wa Ulinzi wa Pakistan: US ilipaswa kumteka Netanyahu, si Maduro
Jan 11, 2026 03:04Waziri wa Ulinzi wa Pakistan amesema "Marekani inapaswa kumteka nyara na kumshtaki katika mahakama yake yoyote ile Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu, ikiwa Washington ni rafiki halisi wa ubinadamu."