-
Wingu la umasikini limegubika maisha ya Wamarekani milioni 55
Mar 07, 2021 10:18Vyombo vya habari nchini Marekani vimetangaza kuwa sudusi moja ya watu wa nchi hiyo hawana uhakika wa kupata chakula.
-
Mbunge wa Bunge la Ulaya akosoa siasa za vikwazo za Marekani
Mar 07, 2021 04:41Mbunge mmoja wa Bunge la Ulaya raia wa Ireland amekosa siasa za vikwazo za Marekani dhidi ya mataifa mengine huru yanayojitawala na kuzitaja siasa hizo kuwa ni ugaidi wa kiuchumi.
-
Marekani na miundombinu yake iliyoatilika kwa ndani na kupenda kwake vita duniani
Mar 05, 2021 23:24Baada ya kipindi cha vita baridi lakini zaidi baada ya mashambulio ya Septemba 11, 2001, Marekani imeshadirisha siasa zake za kupenda vita na kuzusha machafuko duniani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi. Hadi hivi sasa imeshatumia mamia ya mabilioni ya dola katika jambo hilo. Hiyo ni katika hali ambayo, wataalamu wa ndani ya Marekani wanakiri kwamba miundombinu muhimu ya nchi hiyo iko katika hali mahututi.
-
Kuanza uchunguzi wa ICC wa jinai za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 05, 2021 07:04Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC, imeanzisha uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
-
Wasomi 26 wataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu chanzo cha virusi vya corona
Mar 05, 2021 04:18Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limetangaza kuwa, wasomi 26 wameandika barua ya wazi wakitaka kufanyike uchunguzi mpya wa kimataifa kuhusu chanzo cha virusi vya corona.
-
Zakharova: Marekani inawatambua washindani wake wakuu kuwa ni maadui
Mar 05, 2021 04:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Russia amesema kuwa nchi yoyote inayoshindana na Marekani katika uwanja wowote ule hutambuliwa na Washington kuwa ni nchi adui.
-
Makundi 32 ya Marekani yamtaka Biden airejesha nchi hiyo katika JCPOA
Mar 04, 2021 23:03Makundi 32 ya Marekani yamemtaka Rais wa nchi hiyo Joe Biden airejesha Washington katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA haraka iwezekanavyo.
-
Rais Xi: Marekani ndilo tishio kuu kwa ustawi na usalama wa China
Mar 04, 2021 23:01Rais Xi Jinping wa China amesema Marekani ndilo tishio kubwa zaidi kwa maendeleo na usalama wa nchi hiyo ya Asia.
-
Kuanza kampeni kubwa ya vikwazo ya serikali ya Biden dhidi ya Russia
Mar 04, 2021 22:59Uhusiano wa Marekani na Russia katika serikali mpya ya Marekani na wakati huu wa uongozi wa Joe Biden umezidi kuwa mbaya. Serikali ya Biden mbali na kudhihirisha misimamo iliyodhidi ya Russia, hivi sasa imeanzisha kampeni kubwa ya vikwazo dhidi ya Moscow.
-
Newsweek: Marekani yumkini ikawa kituo kikuu cha kueneza fikra za kibaguzi
Mar 04, 2021 00:46Jarida la kila wiki la Newsweek la Marekkani limeandika kuwa, waitifaki wa serikali ya Washington wana wasiwasi kwamba yumkini fikra na mitazamo ya mirengo yenye misimamo mikali ya kulia ikasambaa pia katika nchi hizo kutoka Marekani.