-
Marekani yashambulia makundi yanayopambana na ugaidi mpakani mwa Iraq na Syria
Feb 26, 2021 04:30Jeshi la Marekani kwa amri ya Rais Joe Biden limefanya mashambulizi ya anga yaliyolenga kambi za makundi ya muqawama yanayopambana na magenge ya kigaidi katika mpaka wa Iraq na Syria.
-
Malaki wameuawa katika operesheni za kijeshi za Marekani duniani
Feb 26, 2021 04:27Mamia ya maelfu ya watu wameuawa kutokana na uingiliaji wa kijeshi wa Marekani katika nchi mbalimbali duniani, tangu yalipojiri mashambulizi ya Septemba 11.
-
FBI yakiri kufanya uzembe na kuruhusu kuvamiwa jengo la Bunge nchini Marekani
Feb 25, 2021 23:20Mkuu wa muda wa polisi ya Congress ya Marekani amekiri kwamba chombo hicho kilifanya uzembe kwa kuruhusu magenge ya rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump, kuvamia jengo la bunge na kufanya mauaji na uharibifu ndani yake.
-
'Kulifufua genge la kigaidi la Daesh ndilo lengo la kiistratijia la Marekani'
Feb 25, 2021 23:20Mbunge wa zamani wa Lebanon amesisitiza kuwa, suala la kulifufua genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ndilo lengo la kiistratijia la Marekani kwani inaamini kwamba genge hilo ni turufu ya kufanikisha malengo yake haramu katika eneo hili.
-
Wananchi Marekani hawaridhishwi serikali yao kupuuza suala la umaskini
Feb 25, 2021 00:20Utafiti mpya wa maoni nchini Marekani unaonyesha kuwa, akthari ya wananchi hawaridhishwi na hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kupuuza vita dhidi ya umaskini, kuboresha huduma za afya na elimu.
-
Wahanga nusu milioni wa virusi vya corona nchini Marekani, sababu na taathira zake
Feb 23, 2021 23:11Baada ya kupita mwaka mmoja sasa tangu kulipotokea mlipukowa ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani na kufeli kwa serikali ya nchi hiyo katika kukabiliana na janga hilo, sasa idadi ya wahanga wa corona imepindukia watu nusu milioni kwa kadiri kwamba, Rais Joe Biden amemuru bendera za nchi hiyo zipepee nusu mlingoti.
-
Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela
Feb 23, 2021 09:40Viongozi wa Caracas wamelaani "vita vya kiuchumi vya pande kadhaa" za Umoja wa Ulaya na Marekani dhidi ya Venezuela.
-
Hizbullah yasema itaendelea kusimama na Iran mkabala wa Marekani
Feb 21, 2021 04:12Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema harakati hiyo ya muqawama itaendelea kusimama bega kwa bega na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kukabiliana na Marekani.
-
Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya corona yaongezeke Marekani baada ya kubwagwa katika uchaguzi
Feb 21, 2021 00:44Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa la Magonjwa ya Kuambukiza ya nchini Marekani amesema kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump aliacha kwa makusudi maambukizo ya ugonjwa wa COVID-19 yaongezeke nchini humo baada ya kubwagwa katika uchaguzi wa Novemba 3, 2020.
-
Morocco yashadidisha ukandamizaji baada ya kuanzisha uhusiano na Israel
Feb 20, 2021 09:15Serikali ya Morocco imeshadidisha mbinyo, ukandamizaji na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati na wananchi wa kawaida nchini humo, baada ya Rabat kukubaliana na utawala wa Kizayuni wa Israel kuanzisha uhusiano wa pande mbili.