Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Wakazi wa New York walalamikia utendaji kazi mbaya wa WHO

    Wakazi wa New York walalamikia utendaji kazi mbaya wa WHO

    Apr 21, 2020 06:44

    Wakazi wa mji wa New York nchini Marekani wamelalamikia utendaji kazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu namna lilivyoamiliana na suala zima la kuenea virusi vya Corona.

  • Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha

    Apr 21, 2020 01:39

    Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama katika G20 walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika kwa njia ya video wamechunguza athari mbaya za mlipuko wa virusi vya corona na kukiri kwamba, mfumo wa afya duniani ni dhaifu na kwamba mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona umeweka wazi uhakika huo.

  • Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo

    Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo

    Apr 20, 2020 22:26

    Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.

  • Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA

    Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA

    Apr 20, 2020 01:34

    Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA yenye baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, vikwazo vya kidhulma vya silaha ilivyowekewa Iran, vinapaswa viondolewe kikamilifu tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020.

  • Wamarekani waliopoteza ajira na kuishiwa na fedha kwa corona wamiminika kwenye vituo vya ugawaji chakula

    Wamarekani waliopoteza ajira na kuishiwa na fedha kwa corona wamiminika kwenye vituo vya ugawaji chakula

    Apr 19, 2020 22:09

    Raia wa Marekani wasio na ajira na walioishiwa na fedha wamevamia vituo vinavyotoa milo ya bure ya chakula kwa watu wahitaji.

  • Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia

    Apr 19, 2020 03:22

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.

  • Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani

    Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani

    Apr 19, 2020 03:17

    Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji na majimbo kadhaa kushinikiza kuondolewa kwa agizo la kuwataka wasalie majumbani mwao, kama njia ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi

    Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi

    Apr 18, 2020 22:07

    Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.

  • Brigedia Amir Hatami: Matokeo ya uwepo wa Marekani Ghuba ya Uajemi ni ukosefu wa usalama

    Brigedia Amir Hatami: Matokeo ya uwepo wa Marekani Ghuba ya Uajemi ni ukosefu wa usalama

    Apr 17, 2020 20:13

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali uwepo wa Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kusema kuwa, hatua hiyo haina matokeo mengine ghairi ya ukosefu wa usalama.

  • Taasisi ya misaada ya Bill Gates yatoa radiamali baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa WHO

    Taasisi ya misaada ya Bill Gates yatoa radiamali baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa WHO

    Apr 17, 2020 03:26

    Kufuatia kukatwa msaada wa fedha wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO), shirika la misaada la Bill Gates limetenga kiasi zaidi cha dola milioni 150 kwa ajili ya shirika hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS