-
Ethiopia: Hatutaburuzwa na Marekani kusaini makubaliano ya bwawa la Nahdha
Mar 13, 2020 23:02Ethiopia imesema haitakubali kushinikizwa na Marekani kutia saini makubaliano ya mpango wa Washington kuhusu bwawa la al-Nahdha.
-
Gavana wa jimbo la Ohio: Wakazi laki moja wa jimbo hili wamepatwa na virusi vya Corona
Mar 13, 2020 13:20Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani amesema kuwa ripoti za Idara ya Afya zinaonyesha kuwa, karibu asilimia moja ya wakazi wa jimbo hilo wameambukizwa virusi vya COVID-19 (Corona).
-
Kongresi: Wamarekani milioni 150 huenda wakaambukizwa Corona
Mar 13, 2020 10:27Bunge la Marekani (Kongresi) limesema inakisiwa kuwa Wamarekani kati ya milioni 70 hadi 150 watakumbwa na virusi vya Corona ambavyo vimeua maelfu ya watu katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Iraq yalaani mashambulizi ya Marekani, yasema ni ukiukaji wa mamlaka ya kujitawala
Mar 13, 2020 10:21Jeshi la Iraq na Ofisi ya Rais wa nchi hiyo zimekosoa vikali mashambulizi mapya ya Marekani nchini humo yaliyoua wanajeshi, askari polisi na raia.
-
Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake
Mar 13, 2020 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.
-
Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq
Mar 13, 2020 07:20Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.
-
Ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Marekani; madai ya mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu ulimwenguni
Mar 13, 2020 02:33Ripoti ya mwaka 2019 ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu ilitolewa Jumatano iliyopita ya tarehe 11 Machi.
-
Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona
Mar 12, 2020 04:43Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.
-
Shambulio la anga la Marekani laua watu 6 nchini Somalia
Mar 12, 2020 04:28Watu sita wasio na hatia wameuawa nchini Somalia baada ya basi lao kushambuliwa na ndege zisizo na rubani (drone) za Marekani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoathiriwa vibaya na vita.
-
CDC: Homa ya mafua imeua watu 20,000 wakiwemo watoto 136 nchini Marekani
Mar 10, 2020 04:50Huku virusi vya Corona vikiendelea kusambaa kwa kasi nchini Marekani, Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini humo (CDC) vimesema Wamarekani 20,000 wakiwemo watoto wadogo 136 wameaga dunia kufikia sasa msimu huu kutokana na homa ya mafua.