-
Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani
Mar 10, 2020 04:45Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli
Mar 08, 2020 08:24Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Kundi la Taleban ametupilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba kundi hilo linakusudia kutofungamana na makubaliano yake na Marekani.
-
Kuendelea kuenea virusi vya Corona nchini Marekani na upuuzaji wa Trump
Mar 08, 2020 04:57Licha ya kuenea kwa kasi virusi vya Corona nchini Marekani, lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo amedai kuwa hana wasiwasi wowote kuhusiana na suala hilo.
-
Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019
Mar 07, 2020 23:14Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.
-
Afisa wa zamani wa CIA: Virusi vya Corona vilizalishwa kwenye maabara
Mar 07, 2020 23:14Afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua maelfu ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara na wala havikuanza tu peke yake.
-
Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran
Mar 07, 2020 08:58Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Wizara ya Fedha ya Marekani inazuia vifaa vya tiba vilivyonunuliwa na Iran kuletwa hapa nchini kwa ajili ya kutibu wagonjwa waliopatwa na virusi vya Corona.
-
ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Mar 06, 2020 08:03Oktoba mwaka 2001, kwa kisingizio cha hujuma za Sepemba 11 mwaka huo, Marekani ilianzisha uvamizi dhidi ya Afghanistan. Tokea wakati huo hadi sasa Marekani imeendelea kuikalia kwa mabavu Afghanistan na askari wake wametekeleza jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuua raia wasio na hatia.
-
Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona
Mar 06, 2020 04:53Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.
-
Jumanne Kuu na mustakbali wa uchaguzi wa Wademocrat nchini Marekani
Mar 05, 2020 08:36Siku muhimu zaidi katika kalenda ya uchaguzi wa mchujo wa urais wa Marekani ambayo imepewa jina la Jumanne Kuu katika kambi ya chama cha Democrats imemalizika kwa ushindi wa Joe Biden ambaye inaonekana ndiye atakayekabidhiwa bendera ya chama hiyo kwa ajili ya kupambana na Donald Trump katika uchaguzi wa mwishoni mwa mwaka huu wa 2020.
-
ICC yaamuru uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan
Mar 05, 2020 08:24Majaji waandamizi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wameamuru uchunguzi uanze kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu ambazo zinaripotiwa kufanywa na askari wa Marekani nchini Afghanistan.