Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Makundi ya muqawama Palestina yasisitiza kupambana na siasa haribifu za Marekani

    Makundi ya muqawama Palestina yasisitiza kupambana na siasa haribifu za Marekani

    Mar 04, 2020 08:24

    Makundi ya Muqawama huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu yamesisitiza juu ya kukabiliana na siasa haribifu za Marekani dhidi ya wananchi wa Palestina pamoja na njama za Kizayuni-Kimarekani kupitia mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne.

  • CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    Mar 03, 2020 08:00

    Kanali ya televisheni ya CNN ya nchini Marekani imekiri kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi hatari vya Corona.

  • Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Mar 03, 2020 04:00

    Saudi Arabia, Jordan na Tunisia ni nchi za hivi punde katika ulimwengu wa Kiarabu kuripoti kesi za kwanza za virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu zaidi ya elfu tatu kote duniani, hususan nchini China.

  • Pakistan: Hatuhitaji uingiliaji kati wa Marekani kutatua masuala yetu na Afghanistan

    Pakistan: Hatuhitaji uingiliaji kati wa Marekani kutatua masuala yetu na Afghanistan

    Mar 02, 2020 03:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Shah Mahmood Qureshi amesema, hauhitajiki uingiliaji kati wa Marekani kwa ajili ya kutatuliwa masuala ya pande mbili kati ya nchi yake na Afghanistan.

  • Wamarekani wapandwa na wahka kwa kupotea

    Wamarekani wapandwa na wahka kwa kupotea "mask" za kupambana na Corona madukani

    Mar 01, 2020 08:23

    Wakuu wa majimbo ya Marekani wameonya kuhusu wahka wa wananchi wa Marekani na kuongezeka mahitaji ya vifaa vya kupambana na virusi hatari vya corona wakisema kuwa, maduka makubwa ya nchi hiyo yamekumbwa na mgogoro wa upungufu wa vitendea kazi hivyo.

  • Marekani na al-Shabaab zalaumiana kuhusu mauaji ya raia Somalia

    Marekani na al-Shabaab zalaumiana kuhusu mauaji ya raia Somalia

    Mar 01, 2020 04:44

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limesema zaidi ya asilimia 80 ya mashambulizi ya anga yanayofanywa na Marekani nchini Somalia yanalenga raia wasio na hatia.

  • Washington yatangaza 'hali ya dharura' baada ya Corona kuua Marekani

    Washington yatangaza 'hali ya dharura' baada ya Corona kuua Marekani

    Mar 01, 2020 04:33

    Gavana wa jimbo la Washington nchini Marekani ametangaza hali ya dharura ya kiafya baada ya mtu mmoja kuaga dunia kutokana na virusi vya Corona katika jimbo hilo, hii ikiwa ni kesi ya kwanza virusi hivyo kuua nchini Marekani.

  • Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mamia waandamana katika miji ya US kulaani mauaji ya Waislamu India

    Mar 01, 2020 04:26

    Mamia ya raia wa Marekani wenye asili ya India wamefanya maandamano katika miji mikubwa ya Marekani kulaani na kupinga ghasia zilizopelekea makumi ya watu kuuawa katika mji mkuu wa India, New Delhi.

  • Wasiwasi wa Pakistan kuhusu mkataba wa mauzo ya silaha baina ya India na Marekani

    Wasiwasi wa Pakistan kuhusu mkataba wa mauzo ya silaha baina ya India na Marekani

    Feb 29, 2020 23:04

    Serikali ya Pakistan imetahadharisha kuhusu athari mbaya za mkataba wa kijeshi uliotiwa saini baina ya nchi za India na Marekani.

  • Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Feb 29, 2020 05:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS