-
Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria
Feb 28, 2020 23:08Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.
-
Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq
Feb 28, 2020 02:05Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.
-
Joe Biden atahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la mashambulizi ya silaha nchini Marekani
Feb 27, 2020 21:46Joe Biden, Makamu wa zamani wa Rais wa Marekani ametahadharisha juu ya kiwango cha juu cha mashambulizi ya silaha za moto nchini humo.
-
Kumalizika ziara ya Trump nchini India
Feb 27, 2020 04:38Ziara ya siku mbili ya Rais Donald Trump wa Marekani huko India imemalizika katika hali ambayo hakujatangazwa habari yoyote kuhusu kufikiwa mapatano makubwa ya kibiashara kati ya nchi mbili hizo.
-
Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran
Feb 26, 2020 23:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amevitaja vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuwa kinyume cha sheria na kueleza kuwa Moscow itapinga juhudi zozote kwa lengo la kuirejeshea Tehran vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
-
Sanders: Nikichaguliwa kuwa rais nitaurejesha ubalozi wa US Tel Aviv
Feb 26, 2020 22:55Seneta wa jimbo la Vermont nchini Marekani anayeongoza katika mbio za kuwakilisha chama cha Democratic katika uchaguzi ujao wa rais nchini humo amemtaja Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu kama mbaguzi asiyependa ustawi wa kisiasa na kijamii.
-
Uamuzi wa Marekani wa kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya Venezuela
Feb 26, 2020 09:36Serikali ya Marekani ikiwa na lengo la kuendeleza mashinikizo dhidi ya Venezuela imeazimia kushadidisha vikwazo vya mafuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.
-
Baraza la Usalama la UN launga mkono suala la kuundwa nchi huru ya Palestina
Feb 26, 2020 01:03Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza uungaji mkono wake kamili kwa suala la kuundwa nchi huru ya Palestina na kuendelezwa "mazungumzo yenye itibari" baina ya pande mbili.
-
Hillary Clinton: Rais Trump ni hatari kwa demokrasia ya Marekani
Feb 25, 2020 04:32Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amemtaja Rais Donald Trump wa nchi hiyo kama mtu hatari kwa demokrasia na kusisitiza kuwa, yuko tayari kumuunga mgombea yoyote atakayechuana na mwanasiasa huyo wa Republican katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Dmitry Novikov: Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani
Feb 24, 2020 03:37Mwanachama wa Kamati ya Masuala ya Kimataifa ya Bunge la Russia (DUMA) amesema kuna uwezekano kwamba, virusi vya Corona ni silaha ya kibiolojia ya Marekani.