-
Rais Mahmoud Abbas: Taifa la Palestina halitaukubali mpango wa 'Muamala wa Karne'
May 13, 2019 02:46Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, taifa la Palestina halitaukubali mpango wa Marekani wa 'Muamala ya Karne' kwa namna yoyote ile.
-
Rouhani: Umoja wa Wairani utayashinda mashinikizo ya kila upande ya Marekani
May 12, 2019 03:13Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema umoja na mshikamano wa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa mara nyingine utatoa pigo kwa vikwazo vya kiuchumi na mashinikizo ya kila upande ya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Libya: Trump asitishe uungaji mkono wa kigeni kwa Jenerali muasi Haftar
May 11, 2019 08:27Serikali ya Muafaka wa Kitaifa Libya (GNA), ambayo inatambuliwa kimataifa, imemtaka rais Donald Trump wa Marekani asitishe uungaji mkono wa kigeni kwa jenerali muasi Khalifa Haftar ambaye askari wake wanaendeleza hujuma dhidi ya mji mkuu Tripoli.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kushtadi mivutano ya kibiashara duniani
May 11, 2019 06:40Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameamua kuingia katika vita vya kibiashara na aghalabu ya nchi zilizo na uchumi unaonawiri duniani kwa kutekeleza siasa za kiuchumi za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja na kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingia Marekani.
-
Taarifa ya Ulaya kuhusu hatua ya Iran; ulazima wa kutekelezwa ahadi badala ya kudhihirishwa masikitiko
May 10, 2019 21:46Baada ya Marekani kutangaza kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA, mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilitaraji kwamba kundi la 4+1 na hasa troika ya Ulaya na Umoja wa Ulaya, lingechukua hatua za kupunguza madhara ya Marekani kuanza kutekeleza tena vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran.
-
Korea Kusini: Lengo la majaribio ya makombora ya Korea Kaskazini ni kuilalamikia Marekani
May 10, 2019 09:30Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, lengo la Korea Kaskazini kufanya majaribio mapya ya makombora yake, ni kuilalamikia Marekani.
-
Siasa za kimaonyesho za Trump za kuitaka Iran ifanye mazungumzo naye
May 10, 2019 08:43Katika kipindi cha masaa 24 tokea Iran itangaze rasmi kwamba itapunguza ushirikiano wake na pande husika katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA, rais wa Marekani ameitaka Iran mara tatu, ifanye mazungumzo naye.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran, hatua ya 'mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi'
May 09, 2019 23:26Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuiondoa nchi hiyo katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA mnamo tarehe 8 Mei mwaka uliopita, alianza kutekeleza vikwazo vya nyuklia dhidi ya Iran katika hutua mbili yaani mwezi Agosti na Novemba mwaka huo huo.
-
Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru
May 09, 2019 07:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uhasama wa Marekani dhidi ya Cuba hasa wa kuondoa marufuku ya muda ya utekelezwaji wa Kipengee cha Tatu cha Sheria Helms-Burton na kusema: "Kwa hatua yake hiyo, Washington kwa mara nyingine imeonyesha kuwa, inatumia kila wenzo ulio kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru."
-
Radiamali ya Umoja wa Ulaya kuhusu maamuzi ya Iran, matarajio ya kulindwa JCPOA bila kutolewa fursa
May 09, 2019 02:47Mapatano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA yalifikiwa mjini Vienna mwezi Julai 2015 kati ya Iran na kundi la 5+1, huku utekelezaji wake ukiwa ulianza mwezi Januari 2016.