-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu
May 08, 2019 02:32Utawala wa Marekani ndio unaoshikilia rekodi ya kuziwekea nchi nyingine vikwazo tofauti tofauti.
-
Usalama Waimarishwa misikitini Marekani kabla ya kuanza Mwezi wa Ramadhani
May 06, 2019 03:25Misikiti nchini Marekani imeimarisha usalama kwa kuwaajiri walinzi wenye silaha kabla ya kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Wamagharibi wakasirishwa na uwezo wa kujihami Wapalestina; Uturuki yailaani Israel kwa kushambulia ofisi yake Ghaza
May 05, 2019 03:07Serikali ya Marekani imefumbia macho jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina na badala yake imelaani mashambulizi ya kujihami kwa makombora yanayofanywa na wanamapambano wa Kiislamu huko Ghaza.
-
Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA
May 04, 2019 06:38Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu sana katika fremu ya kulinda amani na usalama wa kimataifa; hata hivyo tarehe 8 mwezi Mei mwaka jana Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo. Serikali ya Trump mwezi Agosti na Novemba mwaka 2018 katika marhala mbili iliiwekea tena Iran vikwazo vya nyuklia; na ingali inaendeleza mashinikizo ya vikwazo dhidi ya Tehran.
-
Rouhani: Taifa la Iran litamshinda adui yeyote yule
May 04, 2019 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili la Kiislamu litamshinda adui yeyote yule kwa mshikamano wake, kusimama kidete na kuwa na matumaini na mustakbali mwema.
-
Ripoti: Chuki dhidi ya Waisraeli yaongezeka maradufu nchini Marekani
May 03, 2019 09:04Ripoti mpya inaonesha kuwa mashambulizi na matamshi ya chuki dhidi ya Mayahudi wanaoishi nchini Marekani yameongezeka maradufu.
-
Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela
May 03, 2019 03:08Katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Donald Trump wa Marekani, nchi hiyo imeongeza maradifu juhudi zake za kutaka kuiangusha serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolas Maduro.
-
Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela
May 02, 2019 23:27Iran imelaani jaribio la hivi karibuni la Marekani la kutaka kuipindua serikali halali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.
-
Iran yakosoa sera haribifu za Marekani katika kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231
May 02, 2019 02:23Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa umekosoa sera za Marekani za kuzuia utekelezwaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama na kuzitaja sera hizo kuwa haribifu na kusisitiza kwamba azimio hilo halijaweka kizuizi katika mpango wa kawaida wa makombora ya Iran.