-
Zarif: Migogoro ya eneo inatokana na sera za Marekani
May 01, 2019 08:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema migogoro ya Asia Magharibi inatokana na sera za Marekani zenye malengo ya muda mfupi, maamuzi ya upande mmoja na uhasama wa utawala wa sasa wa Marekani.
-
Rouhani: Wamarekani hawawezi kuzuia uuzaji mafuta ya Iran
May 01, 2019 08:22Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hatua ya Marekani ya kutaka kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya Iran yauzwe katika soko la kimataifa na kusema: "Marekani haiwezi kuizuia Iran kuuza mafuta na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itauza mafuta yake."
-
Maduro alipongeza jeshi la Venezuela kwa kuzima jaribio la mapinduzi
May 01, 2019 02:57Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali yake, harakati ambazo anasema zinaungwa mkono na Marekani.
-
Trump afufua mpango wa kuiweka Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya ugaidi
May 01, 2019 02:53Rais Donald Trump wa Marekani amehuisha uamuzi wake wa awali wa kuiweka harakati ya Kiislamu ya Ikhwanul Muslimin kwenye orodha ya makundi ya kigaidi. Serikali ya Washington inaituhumu Ikhwanul Muslimin kuwa inaeneza ubaguzi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Rais Rouhani asaini sheria ya kuitambua CENTCOM ya Marekani kuwa kundi la kigaidi
Apr 30, 2019 22:41Rais Hassan Rouhani wa Iran amesaini kuwa sheria, muswada wa kuwatambua wanajeshi wote wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM) na vikosi vyote vinavyofungamana nao kuwa kundi la kigaidi.
-
Rouhani: Iran itaendelea kuuza mafuta licha ya mashinikizo ya Marekani
Apr 30, 2019 07:57Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu kamwe haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi licha ya mashinikizo na vikwazo vipya vya Marekani, na kusisitiza kuwa Tehran ina njia za kuuza mafuta yake.
-
Marekani: Saudia inaongoza kwa kukiuka uhuru wa kuabudu
Apr 30, 2019 07:52Kamisheni ya Kimataifa ya Kutathmini Uhuru wa Kuabudu ya Marekani (USCIRF) imeitaja Saudi Arabia kama moja ya nchi zinazoongoza duniani kwa kukiuka uhuru wa kuabudu.
-
Kikao cha pande nne cha London na uungaji mkono juu ya kudumishwa vita vya Yemen
Apr 29, 2019 23:32Tokea mwezi Machi 2015 Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, zimekuwa zikiendesha vita vya kidhalimu dhidi ya watu wa Yemen. Marekani na Uingereza pia zimekuwa na mchango mkubwa katika vita hivyo kwa kuzipa nchi mbili hizo za Kiarabu msaada mkubwa wa kilojistiki, habari za siri na kijeshi.
-
Hizbullah: Saudia inagharamia jinai za Marekani na Israel Asia Magharibi
Apr 29, 2019 02:28Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) ameitaja Saudi Arabia kama mzizi wa ukosefu wa uthabiti katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa kifalme ndio unaofadhili na kugharamia jinai zinazofanywa na Marekani na utawala haramu wa Israel katika eneo.
-
IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo
Apr 29, 2019 02:24Mfuko wa Fedha Duniani (IMF) umesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimedumaza ukuaji wa uchumi katika eneo la Asia Magharibi.