Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya

    Jarida la Marekani: Trump amepelekea nchi yetu itengwe na Ulaya

    Mar 09, 2019 03:46

    Jarida moja la nchini Marekani limemlaumu vikali rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa siasa zake mbovu za kimataifa na kusema kuwa, Trump amepelekea Marekani itengwe na nchi za Ulaya.

  • Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela

    Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela

    Mar 09, 2019 00:50

    Wakati mgogoro wa kisiasa ukiwa unaendelea nchini Venezuela sambamba na kuongezeka harakati za Juan Guaido, kiongozi wa wapinzani aliyejitangaza rais, za kushadidisha mgogoro huo, njama na hatua za serikali ya Marekani za kutaka kubadilisha hali ya mambo katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini, nazo pia zimezidi kupamba moto.

  • Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu

    Mwenendo wa Marekani dhidi ya wananchi wa Iran; kielelezo cha jinai dhidi ya binadamu

    Mar 08, 2019 11:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif ameichapisha tena barua ya wanasayansi 66 wa tiba wa Iran kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kuitaka jamii ya kimataifa ilaani vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran hususan katika sekta ya utabibu.

  • Jibu la Wairaqi kwa vita vya kinafsi vya Marekani dhidi ya makundi ya Muqawama

    Jibu la Wairaqi kwa vita vya kinafsi vya Marekani dhidi ya makundi ya Muqawama

    Mar 07, 2019 22:56

    Msemaji wa Harakati ya al Nujaba ya Iraq ametangaza kuwa, hatua ya Marekani ya kuiweka harakati hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi ni vita vya kinafsi na haiwezi kubadili lolote.

  • Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400

    Uturuki: Wanachama wa NATO wasiingilie maamuzi yetu juu ya ununuzi wa mfumo wa S 400

    Mar 07, 2019 00:42

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amewataka wanachama wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) waache kuingilia kwa namna yoyote ile maamuzi yanayochukuliwa na serikali ya nchi hiyo.

  • Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani

    Sisitizo la Ulaya la kulinda makubaliano ya JCPOA na kukosolewa uamuzi wa Marekani

    Mar 06, 2019 23:22

    Hata kama makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, ni mapatano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa, lakini Marekani ilichukua uamuazi wa upande mmoja wa kujitoa katika mapatano hayo tarehe 8 mwezi Mei mwaka uliopita.

  • Zimbabwe yasikitishwa na vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake

    Zimbabwe yasikitishwa na vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake

    Mar 06, 2019 10:21

    Zimbabwe imeeleza kusikitishwa kwake na hatua ya Marekani ya kurefusha vikwazo dhidi ya nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, inayokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.

  • Trump awashambulia Wademocrati, asema ni vichaa na majnuni

    Trump awashambulia Wademocrati, asema ni vichaa na majnuni

    Mar 06, 2019 03:53

    Rais Donald Trump wa Marekani amewatuhumu viongozi wa chama cha upinzani cha Democratic kuwa ni wendawazimu na kwamba wanambughudhi.

  • India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    Mar 06, 2019 02:28

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza mashambulizi na vita vyake vya kibiashara dhidi ya mataifa mengine duniani kupitia kuziongezea ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia Marekani na hivyo kusababisha vurugu kubwa katika miamala ya kibiashara ya kimataifa.

  • Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi

    Makumi wakamatwa Marekani kwa kulalamikia mauaji ya kijana mweusi

    Mar 05, 2019 11:01

    Makumi ya watu wametiwa mbaroni na polisi ya Marekani kwa kushiriki maandamano ya kupinga hatua ya Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini humo, kuwaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS