Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Kukiri balozi wa UK kwamba waitifaki wa Marekani ndio wafadhili wakubwa kifedha wa ugaidi nchini Iraq

    Nov 29, 2018 23:17

    Balozi wa Uingereza nchini Iraq Jonathan Wilks, ametoa matamshi muhimu kwa kukiri kwamba Qatar, Saudi Arabia na Imarati (UAE) ndio waliofadhili ugaidi nchini Iraq kwa kiwango kikubwa zaidi cha fedha.

  • Uharibifu na mauaji dhidi ya raia, matokeo ya muungano vamizi wa Kimarekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Uharibifu na mauaji dhidi ya raia, matokeo ya muungano vamizi wa Kimarekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi

    Nov 28, 2018 09:43

    Makumi ya raia wengine wasio na hatia wameuawa na kujeruhiwa katika shambulizi jipya la anga la muungano vamizi wa Marekani eti wa mapambano dhidi ya ugaidi katika jimbo la Deir ez-Zor, mashariki mwa Syria.

  • Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan

    Nov 28, 2018 04:09

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.

  • Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran

    Ufaransa na Ujerumani kuwa wenyeji wa mfumo wa ubadilishanaji fedha na Iran

    Nov 27, 2018 04:26

    Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Ulaya wameliambia gazeti la Wall Street Journal kuwa huenda Ufaransa na Ujerumani zikawa wenyeji wa mfumo maalumu wa ubadilishanaji fedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaojulikana kama SPV, kwa shabaha ya kukwepa vikwazo vya Marekani dhidi ya Tehran.

  • Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Pompeo atiwa kiwewe na nafasi ya Iran ya kuwaunganisha Waislamu

    Nov 27, 2018 04:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonesha kughadhabishwa na matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba taifa hili linanyoosha mkono wa udugu kwa Waislamu wote duniani.

  • Asasi 5 za kimataifa: Marekani itabeba dhima ya janga kubwa zaidi la njaa kuwahi kushuhudiwa duniani

    Asasi 5 za kimataifa: Marekani itabeba dhima ya janga kubwa zaidi la njaa kuwahi kushuhudiwa duniani

    Nov 26, 2018 23:11

    Asasi tano za kimataifa za ufikishaji misaada zinazofanya kazi ya kufikisha misaada ya kibinadamu nchini Yemen zimetahadharisha kuwa, kama Marekani haitositisha misaada na uungaji mkono wake kwa muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen itabeba dhima na masuulia ya baa kubwa zaidi la njaa kuwahi kutokea katika miongo ya karibuni.

  • Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq

    Hashdu sh-Sha'abi yafichua njama za Marekani za kutaka kushambulia ngome zake Iraq

    Nov 26, 2018 01:04

    Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq kupitia mbunge mmoja wa nchi hiyo imeeleza kwamba, Marekani inapanga njama za kutekeleza shambulizi dhidi ya ngome na wapiganaji wake.

  • Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani

    Iran ina haki ya kurutubuisha tena urani kama jibu kwa Marekani

    Nov 25, 2018 04:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran ina haki ya kuimarisha urutubishaji urani katika vituo vyake vya nyuklia, kama radiamali kwa hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Magaidi wa US wawashambulia raia kwa silaha za gesi ya sumu Syria

    Magaidi wa US wawashambulia raia kwa silaha za gesi ya sumu Syria

    Nov 25, 2018 04:34

    Watu zaidi ya 70 wamelazwa hospitalini baada ya magaidi wanaoungwa mkono na Marekani kutekeleza shambulizi la silaha za gesi ya sumu katika mji wa kaskazini mwa Syria wa Aleppo.

  • Qassemi: Marekani inafadhilisha mikataba ya silaha kuliko haki za binadamu

    Qassemi: Marekani inafadhilisha mikataba ya silaha kuliko haki za binadamu

    Nov 24, 2018 11:05

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Marekani inafadhilisha mikataba ya uuzaji silaha kuliko haki za binadamu na hilo ni kinyume cha madai yake ya kutetea haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS