Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Nov 24, 2018 08:18

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.

  • Brigedia Jenerali Salami: Marekani haina uwezo wa kupambana kijeshi na Iran

    Brigedia Jenerali Salami: Marekani haina uwezo wa kupambana kijeshi na Iran

    Nov 23, 2018 23:16

    Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kwamba, matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump, yanaonyesha kukata tamaa na woga wa hali ya juu ilionao nchi hiyo katika kukabiliana kijeshi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Mapatano ya JCPOA yanatosha; Iran haitozungumza tena na Marekani

    Nov 23, 2018 23:14

    Dk. Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu juhudi za Marekani za kutaka kuanzisha mazungumzo mapya na Iran kwa kusema kuwa, mapatano yaliyofikiwa ya JCPOA ni makubaliano mazuri na kwamba Iran haitofanya tena mazungumzo na Marekani kuhusu miradi yake ya nyuklia.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Kamanda Mkuu wa SEPAH: Matunda ya muqawama wa taifa la Iran ni kushindwa mtawalia Marekani

    Kamanda Mkuu wa SEPAH: Matunda ya muqawama wa taifa la Iran ni kushindwa mtawalia Marekani

    Nov 22, 2018 11:30

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, muqawama wa miaka 40 wa taifa la Iran umezaa matunda ya kufeli na kushindwa mfululizo Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Mbunge wa Marekani: Trump ni kijakazi cha Saudia

    Mbunge wa Marekani: Trump ni kijakazi cha Saudia

    Nov 22, 2018 11:22

    Mbunge wa Kongresi ya Marekani amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa ni kama kijakazi cha Saudi Arabia, kutokana na misimamo ya kuukingia kifua na kuutetea utawala wa Aal Saud.

  • Trump ana wasiwasi wa kuuliwa na askari wa Marekani walioko vitani

    Trump ana wasiwasi wa kuuliwa na askari wa Marekani walioko vitani

    Nov 21, 2018 12:22

    Gazeti moja la nchini Uingereza limeandika sababu ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kukataa kuwatembelea askari wa nchi hiyo walioko katika maeneo tofauti yenye vita duniani, ni wasiwasi wake wa kuogopa kuuliwa na askari hao.

  • Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Hujuma ya anga ya Marekani yaua 37 nchini Somalia

    Nov 21, 2018 04:16

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) na Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) zimedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 37 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.

  • Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Washington Post: Mchakato wa kifo cha kisiasa cha Donald Trump umeanza

    Nov 20, 2018 23:09

    Gazeti la Washington Post limeandika makala ya ripoti ya kuchunguza siasa za vituko za rais Donald Trump wa Marekani na kile lilichokieleza kama kifo cha kisiasa cha kiongozi huyo.

  • HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    HAMAS: Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika ugaidi wa kimataifa

    Nov 20, 2018 11:57

    Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS nchini Lebanon amesema, Marekani ni mshirika wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kuongoza ugaidi wa kimataifa na dhulma dhidi ya wananchi wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS