-
Marekani yaendelea kuisakama Korea Kaskazini, yamuwekea vikwazo anayeisaidia kununua mafuta
Nov 20, 2018 11:47Katika mwendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini, Wizara ya Fedha ya nchi hiyo imemuwekea vikwazo mfanyabiashara mmoja wa Russia kwa tuhuma za kuidhaminia mafuta Pyongyang.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani havitaiburuza mezani Iran
Nov 20, 2018 04:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya kidhalmu vya Marekani katu haviwezi kuilazimisha Tehran iende kwenye meza ya mazungumzo wala kuifanya isalimu amri mbele ya matakwa ya Washington.
-
Ndege za Marekani zazidi kuua raia nchini Yemen
Nov 20, 2018 00:12Shirika la habari la Associated Press limeripoti kuwa, ndege zisizo na rubani za Marekani zinaendelea kuua raia maskini wa Yemen.
-
Rais Rouhani: Iran haitasalimu amri mbele ya Marekani
Nov 19, 2018 12:25Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili litabakia kuwa huru na lenye mamlaka yake na katu halitasalimu amri mbele ya Marekani.
-
Malengo halisi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Russia
Nov 18, 2018 03:32Uhusiano wa Marekani na Russia tangu baada ya kumalizika Vita Baridi umekuwa na pandashuka nyingi na mivutano ya mara kwa mara. Tangu mwaka 2011 Marekani imekuwa ikiiwekea vikwazo Russia kwa kutumia visingizio mbalimbali.
-
Trump apata pigo, CNN yashinda kesi dhidi yake
Nov 16, 2018 21:43Mahakama moja nchini Marekani imeiagiza Ikulu ya White House kumrejeshea mwandishi wa habari wa televisheni ya CNN kibali ilichompokonya na kumzuia kuingia katika ikulu hiyo, baada ya kulumbana vikali na Rais Donald Trump.
-
Utafiti: Marekani imetumia dola trilioni 6 katika vita vilivyoua watu laki 5 tangu 9/11
Nov 16, 2018 21:42Utafiti mpya umeonesha kuwa, Marekani imetumia karibu dola trilioni 6 katika vita ambavyo vimepelekea kuuawa watu nusu milioni, tangu mashambulizi ya Septemba 11.
-
Ayatullah Kashani: Wanaounga mkono jinai za Saudia na Wazayuni wana sura za kuogofya
Nov 16, 2018 11:27Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, nchi ambazo zinazipa himaya na kuunga mkono jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo nchi zenye sura za kutisha zaidi duniani.
-
Seneti ya Marekani yataka kutouziwa silaha Saudi Arabia
Nov 16, 2018 11:16Kundi la Maseneta wa Marekani limewasilisha muswada unaotaka kupigwa marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa Saudi Arabia.
-
EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala
Nov 15, 2018 04:34Kamishna wa Umoja wa Ulaya wa Uadilifu, amesema hakuna chaguo jengine lolote mbadala na lenye itibari kwa ajili ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, JCPOA.