Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran yakosoa matamshi  ya kiuhasma ya mshauri wa Trump

    Iran yakosoa matamshi ya kiuhasma ya mshauri wa Trump

    Nov 14, 2018 04:16

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa matamshi ya dharau ya John Bolton Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini

    Korea Kusini yakadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani kuhusu Korea Kaskazini

    Nov 13, 2018 11:13

    Ofisi ya Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini imekadhibisha ripoti ya taasisi ya kifikra ya Marekani ya 'Kituo cha Utafiti wa Kimataifa na Kistratijia' juu ya kuendelea shughuli za makombora ya siri ya Korea Kaskazini.

  • Radiamali ya Yemen kwa hatua za kimaonyesho na misimamo ya kipropaganda ya Marekani

    Radiamali ya Yemen kwa hatua za kimaonyesho na misimamo ya kipropaganda ya Marekani

    Nov 12, 2018 23:21

    Mohamed al-Bukhaiti, mmoja wa viongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa, hii kwamba Marekani imetangaza kuwa, imesimamisha kuzitilia mafuta ndege za kijeshi za muuungano unaoongozwa na Saudi Arabia, ni hatua ya kimaonyesha hasa kwa kutilia maanani kwamba, Washington imekuwa ikishiriki moja kwa moja katika mashambulio ya anga dhidi ya Yemen.

  • Viongozi 30 wa serikali ya Obama, wakiri kwamba Marekani imeingilia vita haribifu nchini Yemen

    Viongozi 30 wa serikali ya Obama, wakiri kwamba Marekani imeingilia vita haribifu nchini Yemen

    Nov 12, 2018 02:00

    Viongozi 30 wa ngazi za juu wa serikali iliyopita ya Marekani, sambamba na kukubali dhima ya kuhusika nchi yao katika uingiliaji usio sahihi wa vita vya Yemen, wametaka kukomeshwa vita hivyo haraka iwezekanavyo.

  • Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Nov 12, 2018 01:54

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya kundi la Taleban yenye makao yake mjini Qatar amesema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi za Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, ni mradi wa pamoja wa Washington na serikali ya Kabul.

  • Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Utafiti: Mashambulizi ya anga ya Marekani huko Somalia hayana tija

    Nov 11, 2018 10:50

    Utafiti mpya umesema mashambulizi ya anga yanayofanywa kila uchao na Marekani nchini Somalia yameshindwa kulitokomeza au hata kulidhoofisha kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab na badala yake yamekuwa na taathira hasi kwa raia wa kawaida.

  • Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili

    Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhdi ya uingiliaji wa Marekani katika uhusiano wa Korea mbili

    Nov 11, 2018 09:16

    Vyombo vya habari vilivyo karibu na serikali ya Korea Kaskazini, vimekosoa mpango wa Marekani wa kuanzisha jopokazi maalumu la kusimamia uhusiano wa Korea mbili na pia kufanya maneva za kijeshi za pamoja baharini.

  • Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Bahram Qassemi: Wananchi wa Iran watazishinda siasa za ubabe na utumiaji mabavu

    Nov 11, 2018 04:21

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wataushinda ubabe na utumiaji mabavu kutoka upande wowote ule, na historia ni ushahidi wa wazi wa utamaduni na mwenendo huu wa Wairani.

  •  Zarif: Iran itanawiri na haitatoa muhanga mamlaka yake ya kujitawala

    Zarif: Iran itanawiri na haitatoa muhanga mamlaka yake ya kujitawala

    Nov 11, 2018 01:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametupilia mbali vitisho vya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuwa taifa la Iran litakumbwa na njaa.

  • Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamezishinda njama za Marekani kwa kusimama kidete

    Rais Rouhani: Wananchi wa Iran wamezishinda njama za Marekani kwa kusimama kidete

    Nov 10, 2018 11:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran wameishinda mipango na njama za Marekani kwa kusimama kwao kidete.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS