-
Undumakuwili wa Marekani kuhusu mapambano dhidi ya ugaidi kwa mtazamo wa Zarif
Nov 10, 2018 07:50Baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 katika miji ya Washington na New York huko Marekani, Rais wa wakati huo wa nchi hiyo, George W. Bush aliwanyooshea kidole cha tuhuma Waislamu na kuiarifisha Marekani kuwa ni mbeba bendera ya kupambana na ugaidi.
-
Kharrazi: Wananchi wa Iran wamesimama kidete dhidi ya mashinikizo ya Marekani
Nov 09, 2018 23:06Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko matatizo hapa nchini yanayotokana na vikwazo vya Marekani, lakini wananchi wa Iran wako pamoja na wamesimama kidete kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya Washington.
-
Kazem Seddiqi: Nguvu ya Marekani duniani inaelekea kusambaratika
Nov 09, 2018 10:45Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, nguvu ya Marekani duniani imo katika hali ya kupomoroka huku chuki za wananchi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni ikiwa katika hali ya kuongezeka.
-
Zarif: Marekani ishtakiwe kwa jinai zake dhidi ya binadamu
Nov 09, 2018 04:25Waziri wa Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika radiamali yake kwa vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya watu wa Iran ameandika katika Twitter kuwa: "Marekani inapaswa kushtakiwa na kuwajibishwa kutokana na jinai zake dhidi ya binadamu".
-
Kufurahishwa Pompeo na vikwazo vipya na kusahau kwamba Iran ni taifa linalojitawala na kujitegemea
Nov 09, 2018 04:14Siku tatu baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo amedai kwamba, lengo la vikwazo hivyo si kufanya mazungumzo na Iran ila ni kuifanya ibadilishe mwenendo wake katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Nation of Islam ya Marekani amuonya Trump
Nov 08, 2018 11:12Louis Farrakhan, kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Nation of Islam ya nchini Marekani amemtahadharisha vikali rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba asithubutu kuanzisha vita katika eneo la Mashariki ya Kati kwa kushinikizwa na utawala haramu wa Israel, akisisitiza kuwa matokeo ya vita hivyo yatakuwa mabaya mno.
-
Watu 13 wauawa katika shambulizi jingine la ufyatuaji risasi California Marekani
Nov 08, 2018 11:02Watu 13 wamethibitishwa kuuawa katika shambulizi jingine la ufyatuaji risasi katika mji wa Thousand Oaks kwenye jimbo la California nchini Marekani.
-
Pelosi: Kufukuzwa kwa Jeff Sessions kutazusha mgogoro wa kikatiba Marekani
Nov 08, 2018 00:53Kiongozi wa wabunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa kufukuzwa kwa Mwanasheria Mkuu wa Marekani, Jeff Sessions ni katika jitihada za Rais Donald Trump za kutaka kudhoofisha na hatimaye kukomesha uchunguzi wa kuingilia Russia uchaguzi uliomfikisha madarakani Trump mwaka 2016.
-
Matokeo ya uchaguzi wa Kongresi ni ishara ya mgawanyiko mkubwa Marekani
Nov 07, 2018 13:04Mkuu wa Baraza la Uhusiano wa Kigeni Marekani amesema matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani yameonyesha kuwepo mgawanyiko mkubwa na wa kina katika jamii ya Marekani.
-
Baada ya kususiwa na China, sasa Marekani yalazimika kuipigia magoti Iran
Nov 07, 2018 13:01Shirika la habari la FARS limeripoti kuwa, baada ya kupamba moto vita vya biashara baina ya China na Marekani, na hivyo China kuamua kuiadhibu Marekani kwa kususia kununua bidhaa zake za maharage ya soya, wazalishaji wa bidhaa hiyo nchini Marekani wamelazimika kukimbilia Iran ili waweze kubakia katika soko la dunia la bidhaa hiyo.