Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Uchaguzi wa Marekani, matokeo na taathira zake

    Uchaguzi wa Marekani, matokeo na taathira zake

    Nov 07, 2018 12:49

    Hatimaye baada ya miaka miwili ya Warepublican kuhodhi mihimili yote ya nguvu za madaraka nchini Marekani, moja ya mabaraza mawili yanayounda Kongresi ya nchi hiyo limeingia mikononi mwa chama cha upinzani cha Democrat.

  • Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Ujumbe wa Zarif; vikwazo na kufedheheka Marekani

    Nov 07, 2018 04:46

    Akizungumza jana ikiwa ni siku moja baada ya kuanza kutekelezwa duru ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewahutubu viongozi wa Washington kwa kusema, serikali ya Marekani ambayo imeshindwa hata kuwathibitishia wananchi wake kwamba, sera zake ni kwa munufaa ya wananchi inasubiriwa na hatima mbaya katika siku za usoni.

  • "Orodha ya vikwazo vipya dhidi ya Iran vinaonesha kukanganyikiwa Marekani"

    Nov 06, 2018 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miongoni mwa majina yaliyoko kwenye orodha ya vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Tehran ni benki iliyofungwa miaka sita iliyopita na meli ya mafuta ya Iran iliyozama katika bahari ya China karibu mwaka mmoja uliopita.

  • Bahram Qassemi:  Mchakato wa kuweko njia ya mabadilishano ya kifedha ya Iran na EU unaendelea vizuri

    Bahram Qassemi: Mchakato wa kuweko njia ya mabadilishano ya kifedha ya Iran na EU unaendelea vizuri

    Nov 05, 2018 10:45

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mchakato wa kuanzisha njia na kanali maaluumu ya mabadilishano ya kifedha kati ya Iran na Umoja wa Ulaya unaendelea vizuri.

  • Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Donald Trump; rais mbaguzi zaidi katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2018 04:48

    Mwananadharia na mhadhiri mashuhuri wa taaluma ya siasa katika Chuo Kikuu cha Stanford nchini Marekani amesema kuwa Doland Trump, ndiye rais mbaguzi zaidi wa rangi katika historia ya nchi hiyo.

  • Mwito wa Ulaya wa kuweko muungano wa kimataifa wa kulinda biashara huru

    Mwito wa Ulaya wa kuweko muungano wa kimataifa wa kulinda biashara huru

    Nov 05, 2018 04:20

    Peter Altmaier, waziri wa uchumi wa Ujerumani amehimiza kuundwa muungano wa kimataifa wa kulinda biashara huru kama njia ya kukabiliana na siasa za rais wa Marekani, Donald Trump, za kuzibana nchi nyingine duniani.

  • Ujerumani yakosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya INF

    Ujerumani yakosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya INF

    Nov 04, 2018 12:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amekosoa uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika Makubaliano ya Silaha za Nyuklia za Masafa ya Kati (INF) na kuyataja makubaliano hayo kuwa miongoni mwa mikataba muhimu sana ya kudhibiti silaha za nyuklia.

  • Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran

    Larijani: Trump ni mdogo sana, hawezi kuipigisha magoti Iran

    Nov 04, 2018 04:40

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Rais Donald Trump wa Marekani ni 'mdogo sana' kuweza kufanikiwa kulipigisha magoti taifa la Iran.

  • Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran

    Zarif: Dunia yote inapinga sera hasi za Marekani dhidi ya Iran

    Nov 04, 2018 04:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera hasi na maamuzi yanayokiuka sheria za kimataifa ya Marekani yanakabiliwa na upinzani mkubwa katika kila kona ya dunia, huku Washington ikijiandaa kuanza kutekeleza vikwazo vipya dhidi ya Tehran.

  • Ndege za kivita za Marekani zaua raia wengine 15 Syria

    Ndege za kivita za Marekani zaua raia wengine 15 Syria

    Nov 04, 2018 04:22

    Kwa mara nyingine tena ndege za muungano wa kijeshi wa Marekani zimetekeleza mashambulizi ya anga dhidi ya wakazi wa mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria na kuua raia 15.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS