-
Hatua za mwisho za Ulaya za kuanzisha mfumo huru maalumu wa kifedha kati yake na Iran
Nov 03, 2018 23:05Kufuatia kutangazwa duru mpya ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vinatazamiwa kuanza kutekelezwa kuanzia tarehe 5 mwezi huu huku vikijumuisha sekta ya mafuta, benki na safari za meli; nchi za Ulaya zimetoa taarifa zikisisitiza kupiga hatua kubwa katika kutayarisha mfumo huo maalumu wa kifedha kati yake na Iran.
-
Iran: Kurejea vikwazo vya Marekani ni kusambaratika maadili na siasa za utawala wa Washington
Nov 03, 2018 11:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kusema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ushirikiano na nchi rafiki na kwa kutegemea uwezo wake wa ndani na kimataifa, itatumia busara na kuweza kuvuka vikwazo visivyo vya kisheria vya Marekani.
-
Novemba 4; kukaribia siku ya mtihani mgumu kwa Umoja wa Ulaya
Nov 03, 2018 04:41Siku tatu kabla ya kuanza awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, Rais Hassan Rouhani alizitaka nchi za Ulaya kusimama imara kukabiliana na mielekeo ya Washington ya kujichukulia hatua za upande mmoja.
-
Baba wa Tovuti ajuta, ataka kudhibitiwa chombo hicho
Nov 02, 2018 12:53Profesa wa Taasisi ya Teklonojia ya Massachusetts na mhadhiri katiika Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani, Tim Berners-Lee amesema kuwa amekatishwa tamaa na hali ya sasa ya mtandao wa Intaneti (Tovuti) baada ya kashfa kadhaa za jinsi taarifa za watu binafsi katika mitandao ya kijamii zinavyotumiwa vibaya kueneza chuki na uhasama.
-
NYT: Trump atafeli katika sera zake za vikwazo dhidi ya Iran
Nov 01, 2018 03:26Gazeti la New York Times la Marekani limeandika kuwa sera za Rais Trump wa Marekani za kuiwekea vikwazo Iran zitafeli.
-
Hatua za Marekani za kujaribu kuinasua Saudia kwenye kinamasi na mkwamo wa vita vya Yemen
Oct 31, 2018 21:53Kufuatia kuongezeka mashinikizo ya Washington dhidi ya Saudi Arabia kuhusiana na kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ametaka vita vya Yemen visimamishwe.
-
Kaburi la umati la watu 1500 lagunduliwa Raqqah, Syria
Oct 31, 2018 21:52Mkuu wa Chama cha Madaktari mjini Raqqah Syria ametangaza habari ya kugunduliwa kaburi moja la umati lililozikwa watu 1500 mjini humo.
-
Ulaya yakerwa na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kusisitiza kulindwa mapatano ya JCPOA
Oct 30, 2018 22:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akijaribu kuvuruga mapatano ya kimataifa yaliyofikiwa kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kundi la 5+1 kwa kisingizio kuwa ni mapatano mabaya zaidi ya kimataifa kuwahi kufikiwa na Marekani.
-
Trump atishia tena kuziwekea ushuru zaidi bidhaa za China
Oct 30, 2018 11:12Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kwamba iwapo hakutofikiwa mwafaka na China, basi ataziwekea ushuru mwingine wa mamia ya mabilioni ya Dola, bidhaa za China zinazoingizwa nchi hiyo.
-
Zarif: Misimamo mikali na ugaidi havina dini wala taifa
Oct 29, 2018 11:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekemea vikali shambulizi la kigaidi lililolenga hekalu la Kiyahudi la Tree of Life huko Pittsburgh, katika jimbo la Pennsylvania nchini Marekani na kusisitiza kuwa, ukatili na ugaidi havina dini wala mbari na vinapaswa kulaani kwa hali yoyote ile.