Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Zarif: Ikiwa utaratibu uliowekwa na Ulaya hautotekelezeka, Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Zarif: Ikiwa utaratibu uliowekwa na Ulaya hautotekelezeka, Iran itajitoa kwenye JCPOA

    Sep 30, 2018 04:34

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, ikiwa utaratibu maalumu ulioratibiwa na Ulaya kwa ajili ya kuyalinda makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hautakuwa na ufanisi wa utekelezaji, Iran itajitoa kwenye makubaliano hayo.

  • Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Uungaji mkono imara wa Russia na China kwa JCPOA na hatua za pamoja kwa ajili ya kuyalinda makubaliano hayo

    Sep 30, 2018 04:04

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akiyakosoa makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalitiwa saini Julai 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1 ikiwemo Marekani akiyataja kuwa makubaliano mabaya kabisa.

  • Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Korea Kaskazini na China zatoa onyo kwa Marekani na Japan kwa kufanya pamoja maneva ya majeshi ya anga na baharini

    Sep 29, 2018 21:56

    Huku maneva ya kijeshi ya pamoja kati ya Japan na nchi za Magharibi yanayoyashirikisha majeshi ya anga na baharini yakiendelea, serikali za Korea Kaskazini na China zimetoa onyo kali na kuItaja Luteka hiyo kuwa ni hatari kubwa kwa ajili ya usalama na amani ya maeneo ya mashariki na kusini mwa Asia.

  • Zarif: Siasa za Marekani kuhusu Iran zitakuwa na matokeo kinyume na matarajio ya Wamarekani

    Zarif: Siasa za Marekani kuhusu Iran zitakuwa na matokeo kinyume na matarajio ya Wamarekani

    Sep 29, 2018 11:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uchochezi unaonezwa na rais wa Marekani dhidi ya Iran katika eneo hili zima utakuwa na matokeo ambayo ni kinyume na wanavyotarajia Wamarekani.

  • Mkutano wa US na nchi za Kiarabu wa kuunda muungano dhidi ya Iran

    Mkutano wa US na nchi za Kiarabu wa kuunda muungano dhidi ya Iran

    Sep 29, 2018 04:44

    Marekani hapo jana ilikuwa mwenyeji wa wanadiplomasia wa ngazi za juu wa nchi za Kiarabu katika kikao kilichojadili mpango wa kuundwa eti muungano wa kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Sep 27, 2018 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.

  • Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Sep 26, 2018 10:49

    Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema Uturuki itaendelea kununua gesi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo na vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Meja Jenerali Jaafari: Wapigania ukombozi duniani wamo katika kuungana dhidi ya Marekani

    Meja Jenerali Jaafari: Wapigania ukombozi duniani wamo katika kuungana dhidi ya Marekani

    Sep 26, 2018 10:28

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, watu wanaodhulumiwa pamoja na wapigania ukombozi katika maeneo mbalimbali duniani, hivi sasa wamo katika hali ya kuungana dhidi ya Marekani.

  • Marekani kuiuzia Taiwan silaha za kijeshi za dola milioni 330

    Marekani kuiuzia Taiwan silaha za kijeshi za dola milioni 330

    Sep 25, 2018 04:41

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imesema serikali ya Washington imeidhinisha mauzo ya silaha za kijeshi kwa Taiwan yenye thamani ya dola milioni 330.

  • Rais Rouhani: Ni mustahili kuizuia Iran kuuza mafuta yake

    Rais Rouhani: Ni mustahili kuizuia Iran kuuza mafuta yake

    Sep 24, 2018 23:32

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia njama za Marekani za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta yake na kusisitiza kuwa, shabaha ya Wamarekani ya kuizuia Iran kuuza mafuta yake si tu ni jambo mustahili na lisilowezekana, lakini hata ni hatari sana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS