-
Siasa za Trump, hatari kwa "utawala wa sheria" duniani
Aug 30, 2018 22:31Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekiambia kikao cha Baraza la Usalama kilichokutana kujadili maudhui ya upatanishi na kutatua hitilafu kwamba moja kati ya misingi ya Umoja wa Mataifa ni kwamba dunia ipaswa kuongozwa kwa sheria na si kwa kutumia mabavu.
-
Familia ya kijana mweusi aliyeuawa na polisi mzungu Marekani yapinga hukumu hafifu aliyopewa muuaji
Aug 30, 2018 11:54Familia ya Jordan Edwards nchini Marekani imelalamikia hukumu aliyopewa polisi mzungu muuaji wa kijana wao, ikisema kuwa hukumu hiyo ni nyepesi mno.
-
Ubaguzi wa rangi wamfanya Morris asigombee tena ubunge wa Baraza la Wawakilishi Marekani
Aug 30, 2018 02:48Ruqaiyah Morris, mbunge pekee mwanamke mweusi wa jimbo la Vermont kupitia tiketi ya chama cha Democrat katika Baraza la Wawakilishi la Marekani ameamua kutogombea tena nafasi hiyo kwa mara ya tatu kutokana na kuandamwa na vitisho na chuki za ubaguzi wa rangi.
-
Korea Kaskazini yaionya Marekani kwa miamala yake mibaya katika mazungumzo
Aug 29, 2018 10:20Serikali ya Korea Kaskazini imewaonya viongozi wa Marekani juu ya uwezekano wa kuvunjika mazungumzo kati ya pande mbili, kufuatia hatua ya Washington ya kumzuia Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mike Pompeo kutembelea Pyongyang.
-
Amoli: Walimwengu wameng'amua mienendo ya kindumakuwili ya Marekani kuhusu ugaidi
Aug 28, 2018 03:08Mkuu wa Idara ya Mahakama nchini Iran amesema kuwa, mienendo ya kindumakuwili ya Marekani kuhusiana na jinai zinazofanywa na magaidi imedhihirika waziwazi kwa walimwengu.
-
Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump
Aug 26, 2018 22:48Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.
-
Zarif: Viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia
Aug 26, 2018 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa viongozi wa Marekani wameelekeza zaidi fikra zao katika vita vya kisaikolojia huku wakifanya juhudi za kuzidisha mashinikizo ya kisaikolojia dhidi ya Wairani na washirika wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku
Aug 25, 2018 06:44Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidhihirisha misimamo yake ya kibaguzi tangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na hata baada ya kuingia Ikulu ya White House.
-
Sisitizo la Trump la kuzidi kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya
Aug 24, 2018 08:54Rais wa Marekani, Donald Trump amesisitizia utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi ya "Marekani Kwanza" na ameahidi kuendelea kuzibana kiuchumi nchi za Ulaya kwa ajili ya kurejesha kile alichodai ni nguvu za Marekani zilizopotea.
-
Trump na Shinzo Abe: Tutaendelea kuibana kwa vikwazo Pyongyang
Aug 24, 2018 03:26Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamesema kuwa, wataendeleza vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini ili kutatuliwa kadhia ya silaha za nyuklia katika Rasi ya Korea.