Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Changamoto mpya zamkumba Rais Trump wa Marekani

    Aug 23, 2018 22:13

    Tokea wakati Rais Donald Trump wa Marekani alipoingia madarakani hadi sasa, amekumbwa na changamoto nyingi ndani ya nchi. Moja ya changamoto hizo ni tuhuma kuwa Russia ilihusika katika kuingilia mchakato wa uchaguzi wa rais wa Marekani mwaka 2016 kwa maslahi ya Trump.

  • Kelele za John Bolton; Iran itasimama kidete na haitatetereka

    Kelele za John Bolton; Iran itasimama kidete na haitatetereka

    Aug 23, 2018 05:48

    John Bolton, Mshauri wa Mais wa Marekani katika Usalama wa Taifa akizungumza mwisho wa safari yake ya siku tatu katika utawala wa Kizayuni wa Israel amekariri madai yake dhidi ya Iran na kusema vitisho na vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitaongezwa ili kuilazimisha Tehran ibadili msimamo wake.

  • Afrika Kusini: Ujumbe wa Twitter wa Trump unaakisi ufahamu finyu wa kiongozi huyo

    Afrika Kusini: Ujumbe wa Twitter wa Trump unaakisi ufahamu finyu wa kiongozi huyo

    Aug 23, 2018 03:48

    Serikali ya Afrika Kusini imepinga vikali ujumbe wa Twitter wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu marekebisho ya ardhi nchini humo na kusema kuwa ni ufahamu finyu unaokusudia kuligawa taifa la Afrika Kusini.

  • Majibu ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    Majibu ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    Aug 23, 2018 03:19

    Kwa miaka kadhaa sasa uhusiano wa Marekani na Russia umekuwa katika mkondo wa mzozo na mivutano.

  • Mbunge wa Uganda Bobi Wine kufikishwa katika mahakama ya kijeshi leo

    Mbunge wa Uganda Bobi Wine kufikishwa katika mahakama ya kijeshi leo

    Aug 23, 2018 00:17

    Mbunge wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi kwa jina maarufu Bobi Wine leo anatarajiwa kurudishwa katika mahakama ya kijeshi mjini Gulu kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Facebook na Twitter zafunga akaunti za mamia ya watumiaji wake kutoka Iran na Russia

    Facebook na Twitter zafunga akaunti za mamia ya watumiaji wake kutoka Iran na Russia

    Aug 22, 2018 21:10

    Mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imefunga akaundi za mamia ya watumiaji wenye asili ya Iran na Russia kwa madai ya kuhofia wasije wakaathiri matokeo ya uchaguzi wa nchini Marekani.

  • Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran

    Ayatullah Khatami: Marekani na waitifaki wake watapata hasara katika vita na Iran

    Aug 22, 2018 03:01

    Khatibu wa Sala ya Idul Adha mjini Tehran amesema Marekani inafahamu kuwa, iwapo kutajiri vita baina yake na Iran, si tu kuwa binafsi itapata hasara, bali pia muitifaki wake mkuu yaani, utawala wa Kizayuni wa Israel nao pia utapata pigo kubwa.

  • Ubalozi ya Marekani nchini Uturuki wahujumiwa, mgogoro wa nchi mbili watokota

    Ubalozi ya Marekani nchini Uturuki wahujumiwa, mgogoro wa nchi mbili watokota

    Aug 20, 2018 22:14

    Ubalozi ya Marekani nchini Uturuki umeshambuliwa na watu wasiojulikana ambapo hakukuwa na mtu aliyefiriki au kujeruhiwa huku mgogoro baina ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota.

  • Ayatullah Amoli Larijani:  Marekani haiwezi kukariri mapinduzdi ya Mordad 28 nchini Iran

    Ayatullah Amoli Larijani: Marekani haiwezi kukariri mapinduzdi ya Mordad 28 nchini Iran

    Aug 20, 2018 22:14

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mapinduzi ya Marekani ya Mordad 28 (Agosti 1953) hapa nchini na kusisitiza kwamba, mara hii taifa la Iran litatoa pigo kali kwa maadui.

  • Qassemi: Hatua hasimu za Marekani dhidi ya Iran zinakiuka sheria za kimataifa

    Qassemi: Hatua hasimu za Marekani dhidi ya Iran zinakiuka sheria za kimataifa

    Aug 20, 2018 09:24

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuundwa 'jopo kazi la hatua dhidi ya Iran' nchini Marekani ni katika fremu ya sera hasimu za Washington na kinyume cha sheria za kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS