Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Makubaliano ya JCPOA yataendelea kutekelezwa bila ya Marekani

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Makubaliano ya JCPOA yataendelea kutekelezwa bila ya Marekani

    Aug 20, 2018 03:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani imekuwa mraibu wa uwekaji vikwazo na kusisitiza kwamba makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yataendelea kutekelezwa hata bila ya kushiriki Marekani.

  • Zaidi ya watu elfu 71 walikufa mwaka jana nchini Marekani kutokana na matumizi ya dawa za kulevya

    Zaidi ya watu elfu 71 walikufa mwaka jana nchini Marekani kutokana na matumizi ya dawa za kulevya

    Aug 19, 2018 23:50

    Vifo vinavyotokana na matumizi ya dawa za kulevya nchini Marekani, vimefikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa ambapo mwaka jana 2017 watu 71,568 walifariki dunia kutokana na janga hilo.

  • Zarif: Marekani haiwezi kuiweka tena Iran chini ya udhibiti wake

    Zarif: Marekani haiwezi kuiweka tena Iran chini ya udhibiti wake

    Aug 19, 2018 23:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani hivi sasa inafanya njama kubwa za kuiwekwa Iran chini ya udhibiti wake lakini kamwe haitofanikiwa.

  • HRW yasisitiza kuwa Marekani na Uingereza ni washirika wa jinai za Saudia dhidi ya raia wa Yemen

    HRW yasisitiza kuwa Marekani na Uingereza ni washirika wa jinai za Saudia dhidi ya raia wa Yemen

    Aug 19, 2018 03:08

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umetekekeza kiwango kikubwa sana cha jinai za kivita tokea uanzishe hujuma dhidi ya Yemen mwezi Machi mwaka 2015. Jinai hizo zimetekelezwa kwa msaada mkubwa wa kisilaha, kijeshi na kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza.

  • Erdogan: Marekani imeanzisha jaribio la mapinduzi ya kiuchumi dhidi ya Uturuki

    Erdogan: Marekani imeanzisha jaribio la mapinduzi ya kiuchumi dhidi ya Uturuki

    Aug 19, 2018 02:42

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake haitasalimu amri mbele ya vikwazo ambavyo Marekani imeiwekea nchi yake kutokana na kushikiliwa mhubiri Mkristo wa Kimarekani. Erdogan ameituhumu Marekani kuwa inatekeleza jaribio la mapinduzi ya kiuchumi dhidi ya nchi yake.

  • Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran

    Aug 19, 2018 00:01

    Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.

  • Ali Asgari: Vitisho vya maadui dhidi ya Iran vimejikita katika sekta vyombo vya habari

    Ali Asgari: Vitisho vya maadui dhidi ya Iran vimejikita katika sekta vyombo vya habari

    Aug 18, 2018 23:39

    Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, vitisho vya sasa vya maadui wakiongozwa na Marekani dhidi ya Iran si vya kijeshi bali vimejikita katika sekta ya vyombo vya habari.

  • Jahangiri: Iran katu haitagonga mwamba

    Jahangiri: Iran katu haitagonga mwamba

    Aug 18, 2018 23:08

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran amesisitiza kuwa, Iran katu haitagonga mwamba na kuongeza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa na usio na kifani kwa mtazamo wa mali asili, nguvu kazi na uongozi wenye busara katika kukabiliana na vikwazo."

  • UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    UN yatoa mapendekezo ya kuboresha hali ya Wapalestina

    Aug 18, 2018 10:00

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mapendekezo kadhaa ya kuwasaidia watu wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Mgogoro wa Marekani na Uturuki waendelea

    Mgogoro wa Marekani na Uturuki waendelea

    Aug 17, 2018 23:46

    Katika kuendelea mzozo kati ya Washington na Ankara, Rais Donald Trump wa Marekani amemtaja, Andrew Brunson, padri wa Kimarekani anayeshikiliwa nchini Uturuki kwa tuhuma za ujasusi, kuwa ni mateka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS