Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Waziri wa Sheria Marekani aamuru kutimuliwa haraka wahajiri

    Waziri wa Sheria Marekani aamuru kutimuliwa haraka wahajiri

    Aug 17, 2018 23:45

    Waziri wa Sheria wa Marekani ameendeleza siasa za serikali ya nchi hiyo ya kupiga vita wahajiri kwa kutoa amri ya kufukuzwa haraka wahajiri haramu nchini humo.

  • Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Aug 17, 2018 23:44

    Serikali ya Marekani imezitishia tena kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta kutoka Iran ikiwemo China.

  • Katika muendelezo wa uhasama wa Marekani dhidi ya Iran; Kundi la Uchukuaji Hatua laundwa

    Katika muendelezo wa uhasama wa Marekani dhidi ya Iran; Kundi la Uchukuaji Hatua laundwa

    Aug 17, 2018 23:43

    Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) imekuwa ikichukua hatua za kushadidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika pande tofauti.

  • Pentagon yapinga amri ya Trump ya kufanya gwaride la kuwakumbuka maveterani wa vita

    Pentagon yapinga amri ya Trump ya kufanya gwaride la kuwakumbuka maveterani wa vita

    Aug 17, 2018 10:32

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kwamba haitotekeleza amri ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo ya kufanya gwaride la kijeshi katika siku ya kuwakumbuka maveterani wa vita.

  • Pentagon: China inajitayarisha kuishambulia Marekani

    Pentagon: China inajitayarisha kuishambulia Marekani

    Aug 17, 2018 00:11

    Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon imesema kuwa jeshi la China limepanua operesheni za ndege zake za kivita katika miaka ya hivi karibuni na kwamba kuna uwezekano kwamba zinafanya mazoezi ya kufanya mashambulizi dhidi ya Marekani na waitifaki wake.

  • AI: Kutenganisha watoto wa wahajiri na wazazi wao Marekani ni jinai mbaya zaidi duniani

    AI: Kutenganisha watoto wa wahajiri na wazazi wao Marekani ni jinai mbaya zaidi duniani

    Aug 16, 2018 22:52

    Mkurugenzi Mkuu mpya wa shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International (AI) amesema kuwa, hatua iliyochukuliwa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwatenganisha watoto wadogo na wazazi wao wahajiri ni miongoni mwa jinai mbaya zaidi zilizowahi kushuhudiwa duniani.

  • Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi

    Marekani yaendelea kukiuka haki ya kujitawala Syria, yataka kujenga uwanja wake wa kijeshi

    Aug 16, 2018 08:47

    Habari kutoka Syria zimeripoti kwamba, askari vamizi wa Marekani wanakusudia kujenga uwanja wao wa kijeshi katika eneo la al-Shaddadi la jimbo la Al-Hasakah nchini humo.

  • Msimamo wa Russia kuhusu bajeti mpya ya jeshi ya Marekani

    Msimamo wa Russia kuhusu bajeti mpya ya jeshi ya Marekani

    Aug 16, 2018 05:23

    Bajeti ya masuala ya kijeshi isiyo na kifani ya dola bilioni 716 iliyosainiwa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani imekabiliwa na radiamali kali katika upeo wa kimataifa.

  • Marekani haina mwamana, imeiwekea vikwazo vipya Korea Kaskazini

    Marekani haina mwamana, imeiwekea vikwazo vipya Korea Kaskazini

    Aug 16, 2018 02:55

    Licha ya Korea Kaskazini kufanya mazungumzo na Marekani na kulegeza mno misimamo yake, lakini Wizara ya Hazina ya Marekani imeamua kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Pyongyang.

  • Rouhani: Adui ataingia nayo kaburini ndoto yake ya kuishinda Iran

    Rouhani: Adui ataingia nayo kaburini ndoto yake ya kuishinda Iran

    Aug 15, 2018 10:34

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shabaha ya vikwazo vya adui dhidi ya Iran ni kuwaweka katika matatizo wananchi wa taifa hili na kusisitiza kuwa, adui kamwe haiwezi kuishinda Iran bali njozi na ndoto yake hiyo atakwenda nayo kaburini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS