Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • EurAsian Times: NATO ya Kiarabu dhidi ya Iran, itaishia kushindwa

    EurAsian Times: NATO ya Kiarabu dhidi ya Iran, itaishia kushindwa

    Aug 03, 2018 02:57

    Gazeti la EurAsian Times limeandika kuwa, fedha za Saudia, silaha za Marekani na vyombo vya upelelezi vya Israel, vinaunda muungano dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kifupi 'NATO ya Kiarabu.'

  • Marekani yazitisha nchi za Ulaya kwamba itaziwekea vikwazo nchi zitakazofanya biashara na Iran

    Marekani yazitisha nchi za Ulaya kwamba itaziwekea vikwazo nchi zitakazofanya biashara na Iran

    Aug 02, 2018 23:54

    Mtandao wa habari wa Washington Free Beacon umeinukuu serikali ya Marekani na bunge la kongresi la nchi hiyo zikizionya nchi za Ulaya kuhusiana na kuendeleza mashirikiano ya kibiashara na Iran.

  • Donald Trump ashikilia rekodi ya

    Donald Trump ashikilia rekodi ya "Rais mwongo zaidi wa Marekani"

    Aug 02, 2018 10:23

    Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limeripoti kuwa, Donald Trump ndiye Rais mwongo zaidi katika historia ya nchi hiyo.

  • Abdolreza Rahmani Fazli: Marekani haiwezi kuthubutu kukabiliana kijeshi na Iran

    Abdolreza Rahmani Fazli: Marekani haiwezi kuthubutu kukabiliana kijeshi na Iran

    Aug 02, 2018 09:34

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema kuwa, Marekani haiwezi kuthubutu katu kukabiliana kijeshi na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Magaidi wa ISIS kaskazini mwa Afghanistan wahamishwa kwa helikopta zisizo na alama

    Magaidi wa ISIS kaskazini mwa Afghanistan wahamishwa kwa helikopta zisizo na alama

    Aug 02, 2018 03:41

    Mwanachama wa Baraza la Mkoa wa Jozjan nchini Afghanistan amefichua kuwa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh ambao wameshindwa katika mkoa huo hivi sasa wameanza kutoroka.

  • Wamarekani weusi waandamana kulaani mauaji mapya ya polisi dhidi ya vijana wao

    Wamarekani weusi waandamana kulaani mauaji mapya ya polisi dhidi ya vijana wao

    Aug 01, 2018 21:58

    Wamarekani weusi wa mji wa Minneapolis katika jimbo la Minnesota nchini Marekani, wamefanya maandamano makubwa kulaani mauaji ya polisi dhidi ya kijana mmoja mwenye asili ya Kiafrika katika mji huo.

  • Radiamali kwa njama za Marekani dhidi ya wakimbizi Wapalestina katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Radiamali kwa njama za Marekani dhidi ya wakimbizi Wapalestina katika fremu ya 'Muamala wa Karne'

    Aug 01, 2018 12:23

    Saeb Erekat Katibu wa Kamati ya Utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina, PLO, amelaani uamuzi wa bunge la Senate la Marekani wa kupitisha sheria mpya ambayo inawatambua wakimbizi 40 elfu tu wa Palestina.

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya sasa ya Marekani haiaminiki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Serikali ya sasa ya Marekani haiaminiki

    Jul 30, 2018 09:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema haiwezekani kufanya mazungumzo ya aina yoyote na serikali ya sasa ya Marekani na kusisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haiaminiki.

  • Zarif: Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo

    Zarif: Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo

    Jul 30, 2018 03:19

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema Marekani imepatwa na uraibu wa kuweka vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali na kwamba Wairani watavuka kipindi kigumu cha sasa kwa umoja na mshikamano wao.

  • Afisa wa UN: Trump anairejesha dunia kipindi cha karne za kati

    Afisa wa UN: Trump anairejesha dunia kipindi cha karne za kati

    Jul 30, 2018 02:03

    Afisa mmoja wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anaielekeza dunia katika zama za udhibiti wa nguvu na mabavu dhidi ya sheria na kuirejesha katika zama za karne za kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS