-
Upinzani wa baraza la wawakilishi la Marekani juu ya kuondoka askari wa nchi hiyo Korea Kusini
Jul 30, 2018 00:08Baraza la Wawakilishi la Marekani, limekataa kupunguzwa na kuondolewa askari wa nchi hiyo walioko nchini Korea Kusini.
-
Richard Murphy: Hatua za Marekani dhidi ya Iran hazina lengo wala tija
Jul 29, 2018 09:43Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Marekani, amesema kuwa, siasa zinazotekelezwa na White House dhidi ya Iran, hazina malengo wala tija.
-
Seneta Sanders akosoa vikali mfumo wa sheria wa mahakama za Marekani
Jul 29, 2018 03:30Seneta Bernie Sanders wa jimbo la Vermont amesema mfumo wa sheria wa mahakama za Marekani ni wa kionevu na upendeleo.
-
Austria yaikosoa vikali Marekani kutokana na kujiondoa katika JCPOA
Jul 29, 2018 02:56Kujiondoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei mwaka huu, hatua ambayo ilichukuliwa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo, kulifuatiwa na ukosoaji mkubwa wa nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 zikiwemo nchi tatu za Troika ya Ulaya za Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Waziri wa Ulinzi wa Marekani akiri kwamba Washington haina uwezo wa kuishambulia Iran
Jul 28, 2018 20:53Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kwamba nchi hiyo haina uwezo wa kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Siasa mbaya za Trump dhidi ya wahajiri zapelekea mtoto wa miaka sita kunajisiwa
Jul 28, 2018 20:52Siasa mbovu dhidi ya wahajiri za Rais Donald Trump wa Marekani, zimepelekea kunajisiwa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka sita aliyekuwa anazuiliwa katika kituo cha jimbo la Arizona.
-
Hatami: Iran haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui
Jul 28, 2018 20:52Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii katu haitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya maadui na itavuka salama kipindi hiki cha sasa.
-
China yaionya tena Marekani, yasema haitaipigia magoti Washington
Jul 28, 2018 07:02Wizara ya Biashara ya China imetoa taarifa ambayo sambamba na kuwaonya viongozi wa Marekani imesema kuwa, nchi hiyo haitaipigia magoti Marekani katika vita vya kibiashara.
-
Palestina yateuliwa kuongoza Kundi la 77 la UN
Jul 27, 2018 03:36Palestina imeteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Kundi la 77 (G77) linalojihusisha na masuala ya uchumi wa nchi zinazostawi, ambazo zinaunda asilimia 80 ya idadi ya watu wote duniani.
-
Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani
Jul 27, 2018 02:07Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi zaidi katika utawala wa Donald Trump zimekuwa kero kwa aghlabu ya mataifa yote huru na yanayojitawala duniani.