-
Mahakama ya Virginia: Marufuku mpya ya usafiri ya Trump ni ya kibaguzi na inakiuka katiba
Feb 16, 2018 04:12Mahakama ya Jimbo la Virginia nchini Marekani imeitaja marufuku mpya ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo inayowazuia raia wa baadhi ya nchi kuingia Marekani, kuwa inawabagua Waislamu.
-
Lobi ya wauza silaha Marekani yataka walimu na wafanyakazi wa shule wapewe silaha
Feb 16, 2018 04:00Mkuu wa kundi linalounga mkono matumizi ya silaha za moto nchini Marekani, amesema kuwa walimu na wafanyakazi wa shule za nchi hiyo wanaswa kupewa silaha hizo kwa kile alichokisema eti ni kwa nia ya kujilinda.
-
Mgombea Mwislamu wa umeya, Marekani atishiwa kifo
Feb 15, 2018 12:35Mgombea wa kike anayewania kuwa meya wa kwanza Mwislamu nchini Marekani amesema ametishiwa kuuawa kama ataendelea kuwa mgombea katika kinyang'anyiro hicho.
-
Marekani na Israel; chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Syria
Feb 15, 2018 07:31Takribani wiki moja baada ya ndege ya kijeshi ya utawala haramu wa Israel aina ya F16 kutunguliwa huko nchini Syria, viongozi wa Marekani wakiwa na lengo la kuuunga mkono utawala huo ghasibu, walidai bila hata soni kwamba, uwepo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Syria eti ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani katika Mashariki ya Kati.
-
Rais Moon Jae-in: Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Feb 15, 2018 00:33Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, serikali ya Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro uliopo.
-
Korea Kaskazini: Trump na viongozi wengine wa Marekani wanaogopa silaha zetu za nyuklia
Feb 13, 2018 04:32Serikali ya Korea Kaskazini imekitaja kitendo cha marekani cha kumwalika raia mmoja wa Korea Kaskazini aliyetoroka nchi sambamba na kusafiri naye baba wa mwanafunzi mmoja aliyefariki dunia kumpeleka katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali huko Korea Kusini kuwa kimetokana na woga wa Washington juu ya uwezo wa silaha za nyuklia wa Pyongyang.
-
Abbas na Putin wazungumzia nafasi ya US katika mgogoro wa Palestina
Feb 13, 2018 03:59Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, Mahmoud Abbas amemwambia Rais Vladimir Putin wa Russia kwamba nchi yake haitaikubali tena Marekani kuwa mpatanishi katika mgogoro wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani nchini Misri
Feb 12, 2018 23:27Rex W. Tillerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akiwa katika safari yake ya kiduru katika kuzitembelea nchi za eneo, aliwasili jana mjini Cairo, mji mkuu wa Misri.
-
Spika Larijani: Wamarekani hawana uchungu na taifa la Iran
Feb 12, 2018 10:43Dakta Ali Larijani, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu Wamarekani hawawezi kuwa na uchungu na taifa la Iran kwa kutumia hadaa na ghiliba.
-
Marekani inajiandaa kuishambulia Syria kwa makombora
Feb 12, 2018 01:11Chombo kimoja cha habari nchini Marekani kimeripoti kuwa Washington inajiandaa kuishambulia Syria kwa makombora.