Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea Misri

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani atembelea Misri

    Apr 20, 2017 23:43

    James Mattis, waziri wa ulinzi wa Marekani ametembelea Misri kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiusalama wa nchi hizo mbili.

  • Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata

    Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata

    Apr 20, 2017 23:40

    Gazeti la Telegraph la nchini Uingereza limeandika kuwa, Russia imetuma wanajeshi wake wenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini kufuatia kuongezeka uwezekano wa Marekani kuivamia kijeshi Korea Kaskazini.

  • Kushindwa vikosi vamizi vya Saudia huko Yemen na wasiwasi wa Marekani

    Kushindwa vikosi vamizi vya Saudia huko Yemen na wasiwasi wa Marekani

    Apr 19, 2017 21:55

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema akiwa nchini Saudi Arabia kwamba, kuna ulazima wa kuchukuliwa hatua za kuzuia mashambulio ya makombora ya jeshi na vikosi vya wananchi wa Yemen dhidi ya ngome za Saudia.

  • Marekani yakiri kuisadia kijeshi Saudi Arabia katika uvamizi huko Yemen

    Marekani yakiri kuisadia kijeshi Saudi Arabia katika uvamizi huko Yemen

    Apr 19, 2017 02:53

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani amekiri kuwa nchi hiyo inaisaidia kijeshi Saudi Arabia katika vita vyake vya kichokozi dhidi ya Yemen.

  • Trump aamuru kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA

    Trump aamuru kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA

    Apr 19, 2017 02:47

    Rais Donald Trump wa Marekani ameiagiza kamisheni ya usalama wa taifa ya nchi hiyo kuangalia upya makubaliano kwa jina la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Mgombea urais Ufaransa akosoa siasa za kupenda vita za Rais wa Marekani

    Mgombea urais Ufaransa akosoa siasa za kupenda vita za Rais wa Marekani

    Apr 18, 2017 21:59

    Mgombea urais wa chama cha mrengo wa kati kulia wa Ufaransa ameutaja mwenendo na mielekeo ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ni hatari sana na tishio kwa amani na usalama wa dunia.

  • HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria

    HRW yalaani shambulizi la Marekani dhidi ya msikiti nchini Syria

    Apr 18, 2017 11:03

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelaani shambulizi la anga la Marekani dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria mwezi uliopita, ambapo makumi ya watu waliuawa.

  • Ripoti zaidi zavuja kuhusu urongo wa Marekani juu ya shambulizi dhidi ya Syria

    Ripoti zaidi zavuja kuhusu urongo wa Marekani juu ya shambulizi dhidi ya Syria

    Apr 17, 2017 03:08

    Siku kumi baada ya shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya kituo cha jeshi la anga la Syria cha Shayrat kwa kutumia kisingizio kwamba Damascus ndiyo iliyofanya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Idlib, kumefichuliwa ripoti mpya zinazothibitisha urongo wa madai hayo ya serikali ya Washington.

  • Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zilishirikiana katika tukio la silaha za kemikali la Khan Sheikhoun, Syria

    Afisa wa zamani wa CIA: Saudia na Israel zilishirikiana katika tukio la silaha za kemikali la Khan Sheikhoun, Syria

    Apr 16, 2017 11:31

    Afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesema utawala wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel zilishirikiana na viongozi wa Marekani katika njama ya shambulio la silaha za kemikali dhidi ya eneo la Khan Sheikhoun nchini Syria.

  • PLO: White House imekaliwa na kuendeshwa na Wazayuni

    PLO: White House imekaliwa na kuendeshwa na Wazayuni

    Apr 16, 2017 03:13

    Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) imesema Ikulu ya Marekani ya White House imekaliwa na kuendeshwa na walowezi wa Kiyahudi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS