-
Wataalamu wanasema US ilitumia ripoti bandia kuishambulia Syria
Apr 16, 2017 03:01Mtaalamu wa mada za kemikali wa Marekani amesema serikali ya Washington ilitumia ripoti bandia kutekeleza mashambulizi ya makombora ya tomahawk dhidi ya Syria.
-
Korea Kaskazini yaonyesha kombora jipya la balestiki la SLBMs
Apr 15, 2017 03:19Katika hali ambayo taharuki imetanda katika Peninsula ya Korea , serikali ya Korea Kaskazini imezindua kombora lake jipya la balestiki la nyambizi (SLBMs).
-
Karzai aikosoa US kwa kudondosha "Mama wa Mabomu Yote" nchini Afghanistan
Apr 15, 2017 03:08Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai ameikosoa vikali Marekani kwa kuitumia nchi yake kama sehemu ya kufanyia majaribio ya silaha zake.
-
Amnesty yasema mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria ni ya jazba
Apr 12, 2017 02:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusisitiza kuwa 'mashambulizi hayo ya jazba' sio njia mbadala ya kufanyika uchunguzi wa kina juu ya mashambulizi ya silaha za kemikali katika eneo la Khan Sheikhoun.
-
Kuendelea mgogoro wa Libya na hatari ya kugawanywa nchi hiyo
Apr 11, 2017 10:27Mshauri wa Rais wa Marekani ametoa pendekezo la kugawanywa nchi ya Libya katika nchi tatu zinazojitawala. Pendekezo hilo limetolewa katika kipindi hiki ambapo Libya inaendelea kuzongwa na mgogoro mkubwa wa kisiasa.
-
Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi
Apr 10, 2017 10:27Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la makombora lililofanywa na Marekani nchini Syria na kueleza kuwa: Shambulio hilo limefanywa kufidia kushindwa kwa magaidi nchini Syria na limewahamasisha magaidi hao kuendelea kufanya jinai zao nchini humo.
-
Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
Apr 09, 2017 23:29Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Marekani imefeli katika njama za chuki dhidi ya Iran
Apr 09, 2017 23:09Njama za kila namna za Marekani katika kueneza chuki dhidi ya Iran zimefeli na hazijaweza kubadilisha fikra za waliowengi nchini humo.
-
Larijani: Litaundwa kundi la kuchunguza shambulio la kemikali huko Syria
Apr 09, 2017 02:33Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge amelaani mashambulizi ya makombora ya Marekani huko Syria kwa kisingizio cha kutekelezwa shambulio la kemikali nchini humo na kutaka kuundwa kundi la kuchunguza suala hilo.
-
Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana
Apr 08, 2017 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa na uzushi hatari sana.