Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Maandamano ya wananchi wa Syria ya kulaani jinai za Marekani

    Maandamano ya wananchi wa Syria ya kulaani jinai za Marekani

    Apr 08, 2017 22:08

    Wananchi wa Syria wamefanya maandamano katika mitaa ya Damascus mji mkuu wa nchi hiyo kulaani mashambulizi ya Marekani katika kituo cha jeshi la anga cha nchi hiyo.

  • Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria

    Wamarekani waandamana kupinga mashambulizi ya nchi hiyo dhidi ya Syria

    Apr 08, 2017 11:21

    Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo wakipinga sera za kupenda vita na ubabe za serikali ya Rais mpya wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Rouhani: Marekani inajifanya polisi na jaji wa dunia

    Rouhani: Marekani inajifanya polisi na jaji wa dunia

    Apr 08, 2017 03:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani shambulio la Marekani katika kambi ya jeshi la anga nchini Syria na kusema kuwa, Washington inajifanya polisi na jaji wa dunia.

  • Sweden: Kisingizio cha shambulio la US Syria ni cha uongo kama cha Iraq

    Sweden: Kisingizio cha shambulio la US Syria ni cha uongo kama cha Iraq

    Apr 08, 2017 03:21

    Mjumbe wa kudumu wa Sweden katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, madai yanayotumiwa na Marekani kuhalalisha shambulio lake la makombora nchini Syria ni ya uongo kama yaliyovyokuwa madai ya nchi hiyo wakati wa kuivamia Iraq mwaka 2003.

  • Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Apr 07, 2017 23:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo na kuongeza kuwa, sera hizo za kivita za Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na haraibifu kwa eneo na dunia nzima.

  • Zarif: Marekani inashirikiana na al Qaida na Daesh katika vita huko Yemen na Syria

    Zarif: Marekani inashirikiana na al Qaida na Daesh katika vita huko Yemen na Syria

    Apr 07, 2017 23:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa haijapita miongo miwili tangu kujiri tukio la Septemba 11 mwaka 2001 huko Marekani ambapo tunashuhudia tena wanajeshi wa nchi hiyo wakiendesha vita huko Yemen na Syria kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaida na Daesh. Muhammad Javad Zarif ameyasema hayo katika radiamali yake kwa mashambulizi ya makombora ya cruz yaliyofanywa na Marekani jana asubuhi katika kituo cha anga cha al Shayrat mashariki mwa Homs huko Syria.

  • Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria

    Radiamali ya awali ya Russia kwa shambulio la Marekani nchini Syria

    Apr 07, 2017 08:26

    Shambulizi la makombora ya Marekani dhidi ya Syria, ambalo limetekelezwa kwa amri ya kwanza ya kijeshi ya Rais Donald Trump dhidi ya serikali ya kigeni, limekabiliwa na radiamali tofauti na hasa kutoka Russia.

  • Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Apr 07, 2017 02:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.

  • Chokochoko za Marekani Mashariki ya Kati zimeanza kwa kuishambulia kwa makombora Syria

    Chokochoko za Marekani Mashariki ya Kati zimeanza kwa kuishambulia kwa makombora Syria

    Apr 07, 2017 00:16

    Saa kadhaa baada ya kutangazwa mashauriano yaliyofanywa baina ya viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuingilia kijeshi mgogoro wa Syria kwa kisingizio cha shambulio la silaha za kemikali lililofanywa katika mji wa Khan Sheikhoun, duru za Magharibi zimetangaza kuwa Washington imeshambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria.

  • Daesh yasema Marekani inaongozwa na rais mpumbavu

    Daesh yasema Marekani inaongozwa na rais mpumbavu

    Apr 05, 2017 03:03

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ISIS limesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani ni mtawala mpumbavu ambaye kwa mikono yake ataitumbukiza nchi hiyo katika maangamivu makubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS