-
Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan
Apr 05, 2017 02:59Korea Kaskazini imevurumisha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan, siku chache baada ya nchi hiyo kuapa kulipiza kisasi juu ya vikwazo vipya dhidi yake.
-
Meja Jenerali Baqeri: Iran haitetereshwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani
Apr 04, 2017 23:40Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halibabaishwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani na waitifaki wake.
-
EU: Hatutohamishia balozi zetu Quds tukufu kutoka Tel Aviv
Apr 04, 2017 11:21Katika hali ambayo Marekani imezungumzia mpango wa kuhamishia ubalozi wake ulioko Israel kutoka Tel Aviv na kuupeleka katika mji wa Quds tukufu huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, Umoja wa Ulaya umesema nchi wanachama wake hazitofuata sera hizo za Washington.
-
Kijana Mmarekani akiri kuhusika na njama za kumuua Papa Francis
Apr 04, 2017 10:46Kijana mmoja Mmarekani kutoka jimbo la New Jersey amekiri mbele ya mahakama kuwa alihusika katika njama zilizofeli za kumuua Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis.
-
HRW: US kushadidisha hujuma zake za anga Somalia kunahatarisha usalama wa raia
Apr 02, 2017 03:42Hatua ya Marekani ya kuidhinisha kushadidishwa mashambulizi yake ya anga dhidi ya ngome za kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia imekosolewa vikali na asasi za kutetea za haki za binadamu.
-
Larijani: Pentagon, CIA ni wahusika wakuu wa harakati za kigaidi
Apr 01, 2017 23:16Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amelaani uharibifu wa wazi unaofanywa na Marekani Mashariki ya Kati na kusema Washington inahusika na harakati zote za kigaidi.
-
Watu 6 wauawa katika ufyatuaji risasi Marekani
Apr 01, 2017 23:00Watu sita wameuawa katika kipindi cha masaa machache yaliyopita katika vitendo mbali mbali vya ufyatulianaji risasi kote Marekani.
-
Mufti wa Waislamu wa Kisuni Iraq: Marekani ikirudi Iraq tutapambana nayo kijeshi
Apr 01, 2017 12:18Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq amesema kuwa, ikiwa Wamarekani wamekusudia tena kurudi nchini humo, watakabiliwa na mapambano ya kijeshi dhidi yao.
-
US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani
Mar 30, 2017 11:15Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha za nyuklia dhidi ya Marekani.
-
Dahqan: Askari wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi ni maharamia wajinga
Mar 30, 2017 10:53Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya uongo yaliyotolewa na jeshi la Marekani akisema kuwa askari wa nchi hiyo walioko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni maharamia wajinga na majahili.