-
Hashdu Sha'abi yamtaka Al-Abadi kuhakikisha Marekani haihusiki katika operesheni ya Mosul
Mar 28, 2017 03:31Harakati ya Asaibu Ahlul-Haq nchini Iraq ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi imemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo Haider al-Abadi kuhakikisha askari wa Marekani hawashiriki kwa njia yoyote katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la Daesh.
-
Marekani: Ni kweli tunao askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi
Mar 27, 2017 08:05Marekani imekiri kuwa ina imetuma askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi na kukusanya habari za kiintelejensia.
-
Wamarekani waandamana Washington dhidi ya lobi ya Kizayuni
Mar 27, 2017 03:16Wanaharakati wanaounga mkono Palestina wamefanya maandamano nje ya ukumbi kunakofanyika kongamano la lobi ya Kizayuni ya Kamati ya Marekani na Israel ya Masuala ya Umma (AIPAC) mjini Washington.
-
Iran yataka Marekani ishtakiwe kwa jinai za kivita baada ya mauaji ya Mosul
Mar 26, 2017 22:13Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema kuwa, hujuma za ndege za kivita za Marekani katika mji wa Mosul, Iraq ambazo zimeua idadi kubwa ya raia, ni jinai za kivita.
-
Iran kuiwekea Marekani vikwazo
Mar 26, 2017 09:44Kufuatia hatua ya Marekani ya kuiwekea Iran vikwazo, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nayo itachukua hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kuiwekea Marekani vikwazo.
-
Iran: Marekani ichunge mienendo yake katika Ghuba ya Uajemi
Mar 25, 2017 23:10Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu limeionya vikali Marekani na kuitaka iwe makini katika harakati zinazofanywa na vikosi vyake vya majini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Russia: CNN ni chombo cha propaganda za Marekani
Mar 25, 2017 22:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa televisheni ya CNN ya Marekani imekuwa chombo cha kueneza propaganda za kisaisa za nchi hiyo.
-
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya: Trump atazusha vita vingine Balkan
Mar 24, 2017 22:21Mwenyekiti wa Kamisheni ya Ulaya amesema kuwa mienendo na mielekeo ya Rais Donald Trump wa Marekani itasababisha vita vipya katika eneo la Balkan huko Ulaya.
-
Kongresi ya Marekani yajiandaa kuibana zaidi Iran kwa vikwazo vipya
Mar 24, 2017 02:50Maseneta wa Bunge la Kongresi la Marekani wameandaa muswada wa sheria inayopania kuiongezea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti kwa kufanyia majaribio makombora yake ya balistiki.
-
Syria yalalamikia kushadidi jinai za Marekani
Mar 23, 2017 10:55Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria katika kulalamikia jinai za muungano wa Marekani wa eti kupambana na magaidi wa ISIS au Daesh, imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutekeleza majukumu yake na kusitisha mauaji ya raia na uharibifu unaofanywa na muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani nchini Syria.