-
Waungaji mkono wa Palestina wakatiza hotuba ya Harris
Oct 30, 2024 23:06Waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina wamekatiza hotuba ya Makamu wa Rais wa Marekani na mgombea wa chama cha Democratic, Kamala Harris wakati wa mkutano wake wa kampeni za uchaguzi wa rais huko Washington DC.
-
Wabotswana wapiga kura huku chama kilichotawala kwa miaka 58 kikiahidi 'mabadiliko'
Oct 30, 2024 09:08Wabotswana leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua wabunge watakaomchagua rais, wakati chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58 kikitafuta ridhaa tena ya kubaki madarakani kwa muhula mwingine wa miaka mitano kwa kaulimbiu ya kuleta "mabadiliko".
-
Kushiriki Marekani kwa 70% katika jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 29, 2024 04:20Takwimu rasmi za makadirio zilizochapishwa zinaonyesha kuwa, Marekani imetoa zaidi ya dola bilioni 22 za silaha na misaada ya kijeshi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika kipindi cha mwaka mmoja tu uliopita.
-
Mwendelezo wa mashambulizi ya Marekani na Uingereza Yemen Magharibi
Oct 24, 2024 04:13Ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mengine makubwa huko Yemen Magharibi.
-
Trump aituhumu UK kwa kuingilia uchaguzi wa Marekani
Oct 23, 2024 22:48Mgombea wa urais wa chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump amewasilisha malalamiko yake kuhusu madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani unaofanywa na chama tawala nchini Uingereza.
-
Wanafunzi Waislamu; Waathiriwa wa sera za kibaguzi za vyuo vikuu vya Marekani
Oct 22, 2024 22:57Kufichuliwa kwa faili la sauti ya rais wa Chuo Kikuu cha Michigan kunaonesha kuanzishwa sera za kibaguzi dhidi ya wanafunzi wa Kiislamu na Waarabu katika jamii za Magharibi.
-
Jarida la Marekani, Foreign Affairs: Hamas itabakia hai
Oct 22, 2024 22:56Jarida la Marekani la "Foreign Affairs" limeandika katika ripoti yake kwamba, kuuawa shahidi Yahya al-Sinwar, sio tu kwamba hakutaiangamiza Hamas, bali Harakati hiyo ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina itaendelea kufanya kazi zake za mapambano ya ukombozi.
-
Onyo la Iran kwa Marekani kuhusu chokochoko tarajiwa ya Israel
Oct 20, 2024 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: US itabeba dhima ya shambulio lolote la Israel dhidi yetu
Oct 19, 2024 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani inapasa kubebeshwa dhima ya shambulio lolote tarajiwa la Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya
Oct 16, 2024 23:25Waziri wa Ulinzi wa Iran ameeleza kuwa mfumo wa ulinzi wa Marekani wa THAAD si jambo jipya na kwamba Iran unalichukulia suala hilo kuwa ni sehemu ya vita vya kisaikolojia na sio tatizo mahsusi.