Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Russia: Jamii ya kimataifa iendelee kuzishinikiza Marekani na utawala wa Kizayuni

    Russia: Jamii ya kimataifa iendelee kuzishinikiza Marekani na utawala wa Kizayuni

    May 21, 2024 08:37

    Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuendeleza mashinikizo kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.

  • Makomandoo 3 wa US wahusishwa na jaribio la mapinduzi DRC

    Makomandoo 3 wa US wahusishwa na jaribio la mapinduzi DRC

    May 21, 2024 03:49

    Makomandoo watatu wa Marekani na raia mmoja wa Uingereza ni miongoni mwa makumi ya watu waliokamatwa na vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakituhumiwa kuhusika na jaribio la mapinduzi katika nchi hiyo ya katikati mwa Afrika.

  • Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa

    Bagheri: Iran na Russia zimegeuza vikwazo vya Marekani kuwa fursa

    May 18, 2024 04:09

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa "Russia na Ulimwengu wa Kiislamu" kwamba: Vikwazo vya Marekani vimegeuzwa kuwa fursa kwa busara na viongozi wa Tehran na Moscow.

  • Sami Abu Zuhri: Marekani ni mshirika wa jinai dhidi ya taifa la Palestina

    Sami Abu Zuhri: Marekani ni mshirika wa jinai dhidi ya taifa la Palestina

    May 18, 2024 00:31

    Sami Abu Zuhri, Kiiongozii wa Idara ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS nje ya nchi amesema kuwa, serikali ya Marekani ni mshirika wa vita dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Polisi 200 wa Kenya kupelekwa Haiti Alkhamisi ijayo

    Polisi 200 wa Kenya kupelekwa Haiti Alkhamisi ijayo

    May 18, 2024 00:30

    Polisi 200 wa Kenya watapelekwa nchini Haiti kulinda usalama siku ya Alkhamisi ijayo. Ni baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu mahakamani, ambapo Januarii mwaka huu Mahakama ya juu nchini Kenya ilitangazwa kuwa, mpango wa serikali wa kutuma polisi nchini Haiti kuongoza kikosi cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa ni kinyume na katiba.

  • Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi

    Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi

    May 16, 2024 00:55

    Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.

  • Takriban wakimbizi elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani

    Takriban wakimbizi elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani

    May 15, 2024 08:26

    Karibu wakimbizi na wahajiri elfu kumi wameaga dunia katika mpaka wa Marekani.

  • Marekani na Uingereza zashambulia tena uwanja wa ndege wa al Hudaidah huko Yemen

    Marekani na Uingereza zashambulia tena uwanja wa ndege wa al Hudaidah huko Yemen

    May 15, 2024 08:20

    Ndege za kivita za Marekani na Uingereza kwa mara nyingine tena zimeushambulia uwanja wa ndege wa kimataifa wa al Hudaidah huko Yemen.

  • Afisa wa jeshi la Marekani ajiuzulu akipinga uungaji mkono wa Washington kwa Israel

    Afisa wa jeshi la Marekani ajiuzulu akipinga uungaji mkono wa Washington kwa Israel

    May 14, 2024 04:17

    Afisa wa jeshi la Marekani jana alitangaza kuwa amejiuzulu akilalamikia hatua ya Washington ya kuunga mkono vita na mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya Gaza.

  • Afisa wa Hamas: Muqawama wa Gaza umeweza kukabiliana kwa mafanikio na vita vya dunia

    Afisa wa Hamas: Muqawama wa Gaza umeweza kukabiliana kwa mafanikio na vita vya dunia

    May 11, 2024 23:06

    Sami Abu Zuhri, ambaye ni miongoni mwa viongozi wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), amesema kwamba Muqawama na mapambano ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yamefanikiwa kukabiliana na "vita vya kimataifa," na nchi zilizoifadhili Israel sasa zinaanza kusitisha uungaji mkono wao kwa utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS