Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mashia

  • HRW yaikosoa Saudia kwa matamshi ya chuki yanayotolewa na mamufti wa Kiwahabi dhidi ya Mashia

    HRW yaikosoa Saudia kwa matamshi ya chuki yanayotolewa na mamufti wa Kiwahabi dhidi ya Mashia

    Sep 26, 2017 16:00

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limeutuhumu utawala wa Aal Saud kuwa umetoa kibali kwa mamufti wa nchi hiyo kutoa hotuba za chuki dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia kupitia vyombo rasmi vya utawala huo.

  • Waislamu Nigeria waitaka Marekani kusitisha uuzaji silaha kwa serikali ya Abuja

    Waislamu Nigeria waitaka Marekani kusitisha uuzaji silaha kwa serikali ya Abuja

    Aug 27, 2017 02:40

    Waislamu wa Nigeria wameitumia barua serikali ya Marekani wakiitaka isitishe kuiuzia silaha na zana za kijeshi serikali ya Nigeria.

  • Mahakama ya Saudia yamhukumu kifo mwanaharakati wa Kiislamu

    Mahakama ya Saudia yamhukumu kifo mwanaharakati wa Kiislamu

    Aug 12, 2017 02:22

    Mahakama ya Saudi Arabia imetoa hukumu ya kifo kwa mwanaharakati wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia anayepinga sera za utawala wa kifalme wa nchi hiyo huku serikali ya Riyadh ikiendelea kuwakandamiza wafuasi wa madhehebu hiyo, wapinzani wa kisiasa na watetezi wa demokrasia.

  • Kutangazwa eneo lililopigwa marufuku mahali yalipo makaazi ya kiongozi wa Mashia Bahrain

    Kutangazwa eneo lililopigwa marufuku mahali yalipo makaazi ya kiongozi wa Mashia Bahrain

    Aug 05, 2017 06:51

    Katika hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa, utawala Aal Khalifa nchini Bahrain umeitangaza sehemu ya Ad-Darz, mahali yalipo makaazi ya kiongozi wa Waislamu wa Kishia Sheikh Isa Qassim kuwa ni eneo lililopigwa marufuku kuingia na kutoka.

  • DW yalaani ukandamizaji wa polisi ya Nigeria kwa ripota wake alipokuwa akiakisi ukatili dhidi ya Waislamu wa Shia

    DW yalaani ukandamizaji wa polisi ya Nigeria kwa ripota wake alipokuwa akiakisi ukatili dhidi ya Waislamu wa Shia

    Jun 26, 2017 07:50

    Viongozi wa Shirika la Utangazaji la Ujerumani la Deutsche Welle wamekosoa miamala mibaya ya maafisa usalama wa Nigeria dhidi ya ripota wao wakati alipokuwa akiandaa ripoti ya ukandamizaji wa polisi hao dhidi ya maandamano ya Waislamu wa Kishia nchini humo.

  • Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Wanajeshi wa Saudia wamuua mkuu wa Baraza la Qur'ani huko Qatif

    Jun 25, 2017 15:28

    Wanajeshi wa utawala wa Saudi Arabia wamempiga risasi na kumuua mwenyekiti wa baraza la Qur'ani katika mji Awamiya katika eneo la Qatif mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kuendelea wasiwasi kuhusu hatima ya kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain

    Kuendelea wasiwasi kuhusu hatima ya kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain

    Jun 12, 2017 08:01

    Takribani wiki tatu zimepita tangu askari wa utawala wa Aal Khalifa walipovamia nyumba ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa Waislamu wa Kishia nchini Bahrain na kumwekea mzingiro wa nyumbani mwanazuoni huyo. Katika hali ambayo hakuna taarifa zozote hivi sasa kuhusu hatima ya Sheikh Isa Qassim, wananchi wa Bahrain pamoja na fikra za waliowengi hasa katika Ulimwengu wa Kiislamu wanafuatilia kwa wasiwasi habari mbalimbali kuhusu hali ya mambo nchini humo.

  • Kushadidi ukandamizaji na utumiaji mabavu wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia

    Kushadidi ukandamizaji na utumiaji mabavu wa utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia

    Jun 04, 2017 07:31

    Ripoti kutoka Saudi Arabia zinaonyesha juu ya kuanza duru mpya ya mashambulio na hujuma za utawala wa Aal Saud dhidi ya wananchi wa nchi hiyo.

  • Saudia yauzingira mji wa Waislamu wa Kishia

    Saudia yauzingira mji wa Waislamu wa Kishia

    May 16, 2017 04:12

    Mji mmoja wenye idadi kubwa ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Saudi Arabia uko chini ya mzingiro kwa siku ya saba mfululizo huku raia kadhaa wakiuawa na jeshi walipokuwa katika maandamano ya Amani.

  • Kesi ya Ayatollah Qassim ni mfano wa kukandamizwa Waislamu wa Kishia Bahrain

    Kesi ya Ayatollah Qassim ni mfano wa kukandamizwa Waislamu wa Kishia Bahrain

    May 06, 2017 07:28

    Katibu Mkuu wa Chama cha Kiislamu cha Al Wifaq cha Bahrain Sheikh Ali Salman amesema kufikishwa kizimbani Ayatullah Sheikh Isa Qassim ni sawa na utawala wa Aal Khalifa kuwafikisha kizimbani na kuwalenga Waislamu wote wa madhehebu ya Shia nchini Bahrain.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS