-
Aal-Saud wawaekea vizuizi Waislamu wa Shia wasiende Karbala kumzuru mjukuu wa Mtume (saw)
Feb 09, 2017 16:31Utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia, umeendeleza ukandamizaji na mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Shia wa nchi hiyo, mara hii ukiwazuia wanaume walio na umri chini ya miaka 40 kufanya safari nchini Iraq kwa lengo la kumzuru al-Imamul-Hussein, mjukuu wa Mtume Muhammad (saw).
-
HRW yataka Nigeria imuachie huru Zakzaky na iache kukandamiza Mashia
Dec 15, 2016 13:58Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Abuja iheshimu agizo la mahakama na kumuachia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigiera, Sheikh Ibrahim Zakzaky sambamba na kusitisha ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
-
Sheikh Jalala awaasa Watanzania kuhurumiana na kupendana bila kujadli itikadi za kidini
Dec 12, 2016 02:39Kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia Ithnashariya nchini Tanzania Shekh Hemed Jalala amewataka Watanzania kuwa na tabia ya kuhurumiana, hasa wenye uwezo kuwahurumia wasio na uwezo.
-
Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi Kabul, Afghanistan
Nov 22, 2016 06:21Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti wa Kishia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, wakati wa maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Jumuiya ya haki za binadamu Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky
Nov 22, 2016 02:46Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.
-
Wanajeshi wa utawala wa Aal Khalifa Bahrain waivunjia heshima Qur'ani Tukufu
Nov 18, 2016 14:23Wanajeshi wa utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, wamekivunjia heshima Kitabu cha Mwenyezi Mungu, kwa kukichanachana.
-
Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria
Nov 15, 2016 11:12Katika kuendelea vitendo vya mauaji vya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu, kwa mara nyingine Waislamu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameshambuliwa na jeshi.
-
Mashia Nigeria: Serikali inapanga kutuhujumu wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS
Nov 09, 2016 07:54Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesema vyombo vya usalama nchini humo vinapanga kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia wakati wa Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini
Nov 04, 2016 15:50Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.
-
Waislamu 10 wauawa Nigeria katika kumbukumbu ya Ashura
Oct 12, 2016 15:59Watu wasiopungua 10 wameuawa leo katika mapigano yaliyotokea baina ya jeshi la Nigeria na Waislamu waliokuwa katika maombolezo na kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali katika jimbo la Katsina huko kaskazini magharibi mwa Nigeria.