Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • AU, UN na EU zalaani mauaji ya Rais Idriss Deby wa Chad

    AU, UN na EU zalaani mauaji ya Rais Idriss Deby wa Chad

    Apr 21, 2021 03:10

    Umoja wa Afrika (AU), Umoja wa Mataifa (UN) na Umoja wa Ulaya (EU) zimelaani na kukosoa vikali mauaji ya Rais Idriss Deby Itno wa Chad.

  • Askari polisi aliyemuua Mmarekani mweusi, George Floyd apatikana  na hatia

    Askari polisi aliyemuua Mmarekani mweusi, George Floyd apatikana na hatia

    Apr 21, 2021 01:29

    Derek Chauvin, afisa mzungu wa polisi wa Marekani ambaye alimuua kikatili Mmarekani mwenye asili ya Afrika, George Floyd na kuzusha maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi dunia nzima hatimaye amepatikana na hatia katika mashitaka yote ya mauaji yaliyokuwa yakimuandama.

  • Rais Idriss Deby wa Chad auawa kabla ya kuapishwa kwa awamu ya sita

    Rais Idriss Deby wa Chad auawa kabla ya kuapishwa kwa awamu ya sita

    Apr 20, 2021 08:38

    Jeshi la Chad limetangaza leo kuwa rais wa nchi hiyo, Idriss Deby ameuawa kutokana na majeraha aliyoyapata katika medani ya vita.

  • Wafugaji 100 wauawa katika mapigano ya kugombania ardhi Ethiopia

    Wafugaji 100 wauawa katika mapigano ya kugombania ardhi Ethiopia

    Apr 07, 2021 03:15

    Mapigano baina ya wafugaji wa jamii hasimu zinazopakana katika eneo la Afar na Somali kaskazini mashariki mwa Ethiopia yamepelekea watu zaidi ya 100 kuuawa.

  • Watu 30 wauliwa katika shambulizi la silaha, nchini Ethiopia

    Watu 30 wauliwa katika shambulizi la silaha, nchini Ethiopia

    Apr 01, 2021 03:46

    Watu waliokuwa na bunduki wamewauwa raia wasiopungua 30 katika shambulio lililolenga kijiji kimoja katika mkoa wa Oromia nchini Ethiopia. Shambulizi hilo linatambuliwa kuwa ni katika mfululizo wa ghasia za kikabila za hivi karibuni za wapinzani wa serikali ya shirikisho.

  • UN yaitaja siku ya jana kuwa mbaya zaidi Myanmar baada ya mapinduzi ya jeshi, raia 38 wapigwa risasi

    UN yaitaja siku ya jana kuwa mbaya zaidi Myanmar baada ya mapinduzi ya jeshi, raia 38 wapigwa risasi

    Mar 04, 2021 03:54

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Myanmar ametangaza kuwa Jumatano ya jana ilikuwa siku mbaya na ya umwagaji mkubwa zaidi wa damu nchini humo baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali ya kiraia tarehe Mosi Februari mwaka huu.

  • Biden asoma ripoti ya CIA kuhusu mauaji ya Khashoggi, kuzunguza na Mfalme Salman wa Saudia

    Biden asoma ripoti ya CIA kuhusu mauaji ya Khashoggi, kuzunguza na Mfalme Salman wa Saudia

    Feb 25, 2021 06:13

    Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa, amepitia ripoti vya vyombo vya ujasusi vya nchi hiyo kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na kwamba kuna uwezekano ripoti hiyo ikatolewa hii leo Alkhamisi.

  • Ongwen kukata rufaa baada ya kuhukumiwa mahakama ya ICC

    Ongwen kukata rufaa baada ya kuhukumiwa mahakama ya ICC

    Feb 15, 2021 09:41

    Kamanda wa zamani wa waasi wa kundi la Lord’s Resistance Army, Dominic Dominic Ongwen amesema atakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Februari 4 wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ambayo ilimpata na hatia ya kutenda uhalifu 61 wa kivita jinai dhidi ya ubinadamu.

  • Ripoti: Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Bashar Assad

    Ripoti: Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Bashar Assad

    Feb 15, 2021 07:25

    Naibu mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa wa Marekani amefichua kuwa, rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump alikuwa na mpango wa kufanya mauaji ya kigaidi dhidi ya Rais Bashar Assad wa Syria.

  • Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon

    Kuuliwa Luqman Salim sambamba na mafanikio ya kijeshi ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon

    Feb 06, 2021 09:43

    Luqman Salim mwanaharakati wa kisiasa na mwandishi wa Lebanon aliuawa Alhamisi katika mji wa Nabatiyah ambao wakazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko kusini mwa Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS