Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Waasi 44 wauawa na jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Waasi 44 wauawa na jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jan 26, 2021 03:59

    Jeshi la Jamhuri ya Afrika ya Kati limetangaza habari ya kuua waasi 44 waliokuwa na nia ya kuzingira na kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui sambamba na kuipindua serikali ya Rais Faustin Archange Toudera wa nchi hiyo.

  • Wanamgambo wa ADF waua raia wengine 22 Kongo DR

    Wanamgambo wa ADF waua raia wengine 22 Kongo DR

    Jan 06, 2021 23:07

    Watu wasiopungua 22 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na waasi wa kundi la Allied Democratic Forces (ADF) katika mkoa wa Kivu Kaskazini huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Kukosoa ripota wa Umoja wa Mataifa hatua isiyo ya kisheria ya Marekani ya kumuua Qassim Suleimani

    Jan 04, 2021 07:33

    Januari 3 mwaka uliomalizika hivi majuzi wa 2020, kwa amri ya Rais Donald Trump, utawala wa kigaidi wa Marekani ulifanya jinai ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassim Suleimani, Mkuu wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu wa Mkuu wa Harakati ya al Hashd al-Shaabi katika shambulio la anga lililofanywa jirani na uwanja wa ndege wa Baghdad nchini Iraq.

  • Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen

    Nukta muhimu katika mahojiano ya Sayyid Hassan Nasrallah na Televisheni ya Al Mayadeen

    Dec 28, 2020 23:29

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah Jumapili 27 Disemba alifanya mahojiano muhimu na Televisheni ya Al Mayadeen ya Lebanon. Katika mahojiano hayo aliwakumbuka na kuwawenzi Shahidi Luteni Jenerali Hajj Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.

  • Jalali: Iran ina haki ya kulipiza kisasi kiistratijia; mauaji ya kigaidi ya shahid Fakhrizadeh

    Jalali: Iran ina haki ya kulipiza kisasi kiistratijia; mauaji ya kigaidi ya shahid Fakhrizadeh

    Dec 08, 2020 03:56

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amesema kuwa, Tehran ina haki ya kulipiza kisasi mauaji ya kigaidi aliyofanyiwa mtaalamu wake wa nyuklia na masuala ya ulinzi, shahid Mohsen Fakhrizadeh.

  • Mauaji ya kiuoga ya mwanasayansi wa Iran na wajibu wa taasisi za kimataifa

    Mauaji ya kiuoga ya mwanasayansi wa Iran na wajibu wa taasisi za kimataifa

    Nov 30, 2020 01:05

    Ikiwa ni katika kudumisha hatua zake za kijinai na kigaidi dhidi ya taifa la Iran, Ijumaa tarehe 27 Novemba utawala wa Kizayuni wa Israel ulitekeleza mauaji mengine ya kigaidi dhidi ya Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi bora na mashuhuri wa Iran, katika mji wa Abesard, mkoani Tehran.

  • Ripota maalum wa UN: Mauaji ya mwanasayansi wa Iran ni ukiukaji wa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Ripota maalum wa UN: Mauaji ya mwanasayansi wa Iran ni ukiukaji wa Hati ya Umoja wa Mataifa

    Nov 28, 2020 04:16

    Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ameyaelezea mauaji ya mwanasayansi wa Iran Shahidi Mohsen Fakhrizadeh kama "mauaji ya nje ya mipaka yaliyofanywa kwa lengo maalum" na akasisitiza kuwa, kumkosesha mtu haki ya kuishi katika kipindi cha amani ni ukiukaji wa Hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh

    Trump athibitisha kuhusika Mossad katika mauaji ya shahidi Fakhrizadeh

    Nov 28, 2020 04:16

    Hatua ya rais wa Marekani ya kuusambaza ujumbe ulioandikwa na mwandishi mmoja wa habari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel imethibitisha kwa njia isiyo ya moja kwa moja kuhusika utawala huo katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran.

  • Raisi: Iran imeazimia kuwafuatilia walioamuru na waliotekeleza mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani

    Raisi: Iran imeazimia kuwafuatilia walioamuru na waliotekeleza mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani

    Nov 09, 2020 08:42

    Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imedhamiria kwa dhati kutekeleza kwa uadilifu kwa wale wote walioamuru na waliotekeleza jinai ya kumuuwa kigaidi Kamanda Qassem Soleimani.

  • Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Nov 03, 2020 03:39

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha magharibi mwa Ethiopia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS