Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mauaji

  • Mauaji ya kigaidi ya viongozi; mbinu ya Kizayuni inayotumiwa na Saudi Arabia nchini Yemen

    Mauaji ya kigaidi ya viongozi; mbinu ya Kizayuni inayotumiwa na Saudi Arabia nchini Yemen

    Oct 30, 2020 03:57

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Yemen imetangaza kupitia taarifa kwamba mashirika ya ujasusi ya nchi zinazounda muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia ndiyo yaliyopanga mauaji ya kigaidi ya Hassan Muhammad Zaid, Waziri wa Michezo na Vijana wa serikali ya uokovu wa kitaifa ya Yemen.

  • Wauaji wa Waziri wa Michezo wa Yemen wajulikana, Ansarullah yailaumu Marekani na Saudia

    Wauaji wa Waziri wa Michezo wa Yemen wajulikana, Ansarullah yailaumu Marekani na Saudia

    Oct 28, 2020 23:23

    Vyombo vya usalama na upelelezi vya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa nchini Yemen vimebaini utambulisho wa watu waliofanya mauaji ya aliyekuwa Waziri wa Michezo na Vijana wa nchi hiyo, Hassan Zaid.

  • Umoja wa Afrika walaani mauaji ya raia nchini Nigeria

    Umoja wa Afrika walaani mauaji ya raia nchini Nigeria

    Oct 22, 2020 10:18

    Nchi ya Nigeria inaendelea kukumbwa na hali ya machafuko baada ya askari usalama kuwatawanya kikatili vijana walioandamana dhidi ya ghasia za polisi, na kuua watu kadhaa. hayo yametangaza na shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International.

  • Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza

    Mamia wapambana na polisi Tunisia baada ya muuza sigara kuuawa kwa buldoza

    Oct 13, 2020 22:53

    Mamia ya waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe walipambana na polisi katika mji wa Sbeitla nchini Tunisia jana Jumanne baada ya mamlaka kushambulia kibanda cha sigara ambacho hakina leseni, na kumuua mmiliki wake aliyekuwa amelala ndani yake.

  • Genge la wabeba silaha lafanya tena mashambulio na kuua 12 Ethiopia

    Genge la wabeba silaha lafanya tena mashambulio na kuua 12 Ethiopia

    Oct 13, 2020 04:10

    Kwa akali watu 12 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa Ethiopia.

  • Meya wa New York awataka mamea wenzake kususia mkutano wa

    Meya wa New York awataka mamea wenzake kususia mkutano wa "Urban 20" kupinga ukiukwaji wa haki za binadamu Saudia

    Sep 27, 2020 01:11

    Meya wa jiji la New Yorkk nchini Marekani amesema kuwa atasusia mkutano wa "Urban 20" wa mameya wa miji mikubwa ya nchi wanachama katika kundi la G20 uliopangwa kufanyika nchini Saudia ili kupinga ukiukaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhidi ya mwandishi habari Jamal Khashoggi.

  • Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran

    Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran

    Sep 19, 2020 06:34

    Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, serikali ya Rais Donald Trump ilizidisha mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa shabaha ya eti kulemaza uchumi wa Iran na imekuwa ikitumia kila liwezekanalo kuanzisha vita vya kinafsi na kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kutoa vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Watu 58 wauawa katika mashambulizi ya ADF mashariki mwa Kongo DR

    Watu 58 wauawa katika mashambulizi ya ADF mashariki mwa Kongo DR

    Sep 11, 2020 02:42

    Watu wasiopungua 58 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mashambulio ya wanamgambo wa ADF wa Uganda katika mkoa wa Ituri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • U.N: Maisha ya daktari wa Congo DR aliyeshinda tuzo ya Nobel, yamo hatarini

    U.N: Maisha ya daktari wa Congo DR aliyeshinda tuzo ya Nobel, yamo hatarini

    Aug 28, 2020 22:08

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa maisha ya daktari wa Congo ambaye alishinda Tuzo ya Amani ya Nobel kwa kazi yake ya kutibu waathirika wa ubakaji katika vita yamo hatarini baada ya kutolewa vitisho kadhaa vya kumuua.

  • Watu 13 wauawa katika shambulio la genge la waasi wa ADF mashariki mwa Congo

    Watu 13 wauawa katika shambulio la genge la waasi wa ADF mashariki mwa Congo

    Aug 22, 2020 07:49

    Watu wasiopungua 13 wameuawa katika shambulio lililofanywa na waasi wa kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) kutoka Uganda huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS