-
Utafiti mpya wafichua jinsi Mfalme wa Uingereza alivyofaidika na utumikishwaji wa watumwa
Aug 09, 2025 02:31Utafiti mpya umefichua jinsi Mfalme George IV wa Uingereza alivyonufaika binafsi kutokana na utumikishwaji wa watumwa kwenye mashamba ya Karibea, na hivyo kutilia nguvu upya miito ya kuutaka utawala huo wa kifalme uwajibike kwa madhara na maafa yaliyosababishwa na ukoloni wake wa zamani.
-
Ujumbe wa Kongamano la Kimataifa la Palestina kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa
Aug 01, 2025 15:03Mkutano wa Kimataifa wa Palestina umeafiki kuchukua hatua za pamoja za kumaliza vita vya Israel dhidi ya watuu wa Gaza, na kuunga mkono kile kilichoitwa kuwa suluhisho la "nchi mbili" na kuanzishwa kwa taifa la Palestina.
-
Kwa nini Trump anasema uongo kuhusu mauaji ya watu weupe nchini Afrika Kusini?
May 26, 2025 06:01Senzo Mchunu, Waziri wa Polisi wa Afrika Kusini amefichua uongo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mauaji ya wakulima wa kizungu nchini Afrika Kusini, na kusema: "Katika robo ya kwanza ya mwaka huu, jumla ya mauaji sita yanayohusiana na ardhi yalitokea Afrika Kusini, ambapo watano kati yao walikuwa watu weusi."
-
Je, kwa nini Trump amenyamazia kimya mauaji ya kimbari huko Gaza, huku akidai yametokea Afrika Kusini?
May 23, 2025 05:57Akizungumza siku ya Jumatano katika kikao chenye mvutano na Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini, Rais Donald Trump wa Marekani alichukua hatua ya kushanga kwa kumuonyesha video ya kiongozi mmoja wa mrengo wa kulia wa Afrika Kusini aliyetoa wito wa kuuawa wakulima weupe ili kuthibitisha madai yake kuhusu kile kinachodaiwa kuwa mauaji ya kimbari dhidi ya wazungu wa nchi hiyo.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni ni utawala wa mauaji ya kizazi?
May 16, 2025 02:16Sisitizo la Israel la kuendeleza vita Gaza katika mwezi wake wa ishirini na kuendelea kuwaua kwa umati wakazi wa ukanda huo hususan wanawake na watoto si tu kwamba kumeibua mijadala ya upinzani na kulaaniwa kimataifa kitendo hicho, bali hata nchi za Ulaya zimekuwa zikiukosoa utawala huo ghasibu kwa hatua zake hizo za kikatili.
-
Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?
May 01, 2025 13:17Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.
-
Microsoft inashirikiana na Israel katika mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Apr 23, 2025 02:10Hatua ya Ibtihal Aboussad mhandisi wa nchini Morocco ya kupanda jukwaani na kumshutumu Mustafa Suleyman Mkuu wa Kitengo cha Akili Bandia AI cha Kampuni ya Microsoft imegonga vichwa vya habari duniani.
-
UN, EU zataka kusitishwa vita Gaza huku Israel ikifanya mashambulizi mapya
Mar 22, 2025 04:32Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya zimetoa wito wa kusitishwa mara moja mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza, huku Israel ikianzisha tena vita vya mauaji ya kimbari kwenye ukanda huo.
-
Mkuu wa IEBC aliyesimamia uchaguzi wa kwanza Kenya kubatilishwa na mahakama afariki
Feb 21, 2025 10:55Wafula Wanyonyi Chebukati, aliyesimamia uchaguzi wa urais uliobatilishwa na Mahakama mwaka 2017 na 2022 ulioigawanya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ( IEBC) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.
-
UN yatahadharisha mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka hadi Ukingo wa Magharibi
Jan 23, 2025 02:51Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina ametahadharisha kuwa mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka kutoka Gaza hadi Ukingo wa Magharibi, kwa kuzingatia operesheni kubwa ya kijeshi inayoendelea kufanywa na utawala huo ghasibu katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin.