-
Gazeti la Haaretz lakiri nafasi ya Israel katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Myanmar
Oct 02, 2017 14:18Gazeti la Kizayuni la Haaretz limeandika kuwa, utawala haramu wa Israel una nafasi katika mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya wa Myanmar yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo likishirikiana na Mabudha wenye misimamo mikali.
-
Mahakama ya kimataifa Malaysi yatoa hukumu dhidi ya viongozi wauaji wa Myanmar
Sep 23, 2017 15:43Mahakama ya Kimataifa ya Kudumu ya Watu wa Malaysia imetoa hukumu dhidi ya serikali ya Myanmar kutokana na kutenda jinai za mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
-
Ayatullah Larijani: Mauaji ya Waislamu wa Myanmar ni mfano wa wazi wa maangamizi ya kizazi
Sep 19, 2017 04:22Mkuu wa Idara ya Mahakama Nchini Iran amesema kuwa mashambulizi na utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu wa Myanmar ni mfano wa wazi wa maangamizi ya kizazi na jinai dhidi ya binadamu.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari CAR
Aug 24, 2017 02:35Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusiana na kuweko ishara za kutokea mauaji ya kimbari katika Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo inakabiliwa na machafuko.
-
Nyaraka mpya zafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda
Jul 01, 2017 13:05Nyaraka mpya za kihistoria zilizochapishwa hivi karibuni kwa mara nyingine tena zimethibitisha nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda baada ya kupita miaka 23 tangu kutekelezwa mauaji hayo.
-
Uingereza: Machafuko ya Sudan Kusini ni sawa na mauaji ya kimbari
Apr 14, 2017 08:18Waziri wa Serikali ya Uingereza amesema kuwa mauaji yaliyoyalenga makundi maalumu ya kikabila huko Sudan Kusini na kusababisha vita vya ndani nchini humo mwaka 2013, ni sawa na mauaji ya kimbari.
-
Kuendelea kuhukumiwa wafanya mauaji ya kimbari nchini Rwanda
Dec 05, 2016 03:56Licha ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu yalipotokea mauaji ya kimbari nchini Rwanda, watendaji ya jinai hizo wanaendelea kuhukumiwa hadi leo hii.
-
Mahakama ya Ufaransa yapasisha miaka 25 jela dhidi ya Simbikangwa
Dec 04, 2016 07:28Mahakama moja nchini Ufaransa imepasisha kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya mkuu wa zamani wa usalama wa taifa wa Rwanda baada ya kumpata na hatia ya kufanya mauaji ya kimbari mwaka 1994 nchini humo.
-
Indhari ya UN juu ya uwezekano wa kutokea mauaji ya kimbari Sudan Kusini
Dec 02, 2016 16:31Kutokana na kuendelea mapigano nchini Sudan Kusini kuna hatari ya kutokea mauaji ya kimbari nchini humo.
-
UN yatahadharisha kuhusu mauji ya kimbari Sudan Kusini
Dec 02, 2016 04:24Mjumbe wa Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini amesema baada ya kuitembelea nchi hiyo kuwa, kumetokea mauaji ya kimbari katika maeneo kadhaa ya Sudan Kusini.