Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mauaji ya Kimbari

  • Mahakama ya Kijeshi Rwanda yaanza kusikiliza kesi ya Seyoboka

    Mahakama ya Kijeshi Rwanda yaanza kusikiliza kesi ya Seyoboka

    Dec 01, 2016 15:00

    Mahakama ya Kijeshi ya Rwanda leo imeanza kusikiliza kesi ya afisa wa zamani wa jeshi la nchi hiyo aliyerejeshwa nyumbani kutoka Canada mwezi uliopita kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kimbari ya 1994.

  • Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari

    Rwanda kuchunguza kuhusika Wafaransa katika mauaji ya kimbari

    Nov 30, 2016 07:38

    Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Rwanda imeanzisha uchunguzi wa jinai kuhusu kuhusika raia 20 wa Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi

  • UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    UN yatahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari Burundi

    Sep 21, 2016 14:08

    Kundi la wachunguzi wa Umoja wa Mataifa limetahadharisha kuhusu hatari ya mauaji ya kimbari yanayonukia huko Burundi na kueleza kuwa, mwenendo jumla wa kauli zenye kuleta mgawanyiko wa kikabila zinazotolewa na serikali ya nchi hiyo zinamaanisha kuwa mzozo unaweza kuenea hadi katika nchi nyingine za Kiafrika.

  • Wazayuni watuhumiwa kuiba viungo vya miili ya Wapalestina

    Wazayuni watuhumiwa kuiba viungo vya miili ya Wapalestina

    Jul 26, 2016 04:24

    Jeshi la Israel limetajwa kuwa linaiba viungo vya Wapalestina na kufanya mauaji ya kizazi.

  • Mameya wa Rwanda kizimbani Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya 1994

    Mameya wa Rwanda kizimbani Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya 1994

    May 10, 2016 15:03

    Mameya wawili wa zamani wa Rwanda Jumanne hii wamefikishwa kizimbani Ufaransa wakikabiliwa na mashtaka ya kutenda jinai dhidi ya binadamu na mauaji ya kimbari mwaka 1994 katika nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika.

  • Kesi 40 zaripotiwa za waenezaji itikadi za mauaji ya kimbari Rwanda

    Kesi 40 zaripotiwa za waenezaji itikadi za mauaji ya kimbari Rwanda

    Apr 15, 2016 08:12

    Polisi wa Rwanda wameripoti kuwepo kesi 40 za hivi karibuni za wanaohusika na kueneza itikadi ya mauaji ya halaiki wakati wa wiki ya kuadhimisha mauaji ya halaiki iliyomalizika Jumatano iliyopita.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS