-
Zarif: Meli ya mafuta ya Iran ilikuwa imezuiwa kinyume cha sheria
Aug 16, 2019 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha madai ya serikali ya Uingereza kuwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace 1 ilikuwa imekiuka sheria za Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo.
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama; ukiukaji wa meli ya mafuta ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormoz
Jul 25, 2019 07:45Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barau Baraza la Usalama la umoja huo akilibainishia sababu ya kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormoz na kueleza kuwa meli hiyo ya mafuta ilikiuka sheria za kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Sharif: Kutunguliwa droni ya Marekani na kukamatwa meli ya Uingereza ni ishara ya uwezo ilionao Iran
Jul 25, 2019 07:36Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Kuangushwa ndege ya ujasusi isiyo na rubani ya Marekani katika anga ya Iran na kukamatwa meli ya mafuta iliyofanya uhalifu ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormuz vimedhihirisha nguvu na uwezo ilionao Iran ya Kiislamu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza ni kielelezo cha azma ya Iran ya kujibu vitisho
Jul 23, 2019 04:21Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jibu la Iran dhidi ya hatua isiyosahihi ya Uingereza na kusimamisha meli ya mafuta ya Iran katika maji ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha azma na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu wa kutoa jibu kwa vitisho vya aina yoyote.
-
Shutuma kali za chama cha Leba cha Uingereza kwa chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi
Jul 22, 2019 02:27Matukio ya hivi karibuni katika eneo la Ghuba ya Uajemi kama vile kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH baada ya meli hiyo kuvunja sheria za kimataifa za safari za baharini na madai ya uongo ya Marekani ya kwamba eti imetungua droni ya Iran, yamewafanya viongozi mbalimbali wa Uingereza kuonesha hisia zao kuhusu matukio hayo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden: Kukamatwa meli ya mafuta ya Iran huko Jabal Tariq ni njama
Jul 21, 2019 07:20Waziri Mkuu wa zamani wa Sweden amesema kuwa, kukamatwa kwa meli ya mafuta ya Iran katika maji ya eneo la Jabal Tariq (Gibraltar) kwa kisingizio cha kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria ni hila na njama.
-
Iran: Tumesimamisha meli moja tu ya mafuta ya Uingereza kwa kuvunja sheria za kimataifa
Jul 20, 2019 03:15Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limetangaza kuwa limesimamisha meli moja ya mafuta ya Uingereza baada ya kukiuka sheria za kimataifa za ubaharia katika Lango Bahari la Hormuz.
-
Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran na utegemezi wa Uingereza kwa Marekani
Jul 12, 2019 14:03Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran katika lango bahari la Jabal Tariq (Gibraltar) ni kielelezo cha utegemezi wa Uingereza kwa Marekani.
-
Kufichuliwa nafasi ya Marekani katika kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran
Jul 05, 2019 06:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Hispania amefafanua habari mpya inayohusiana na hatua ya kusimamishwa meli iliyokuwa imebeba mafuta ya Iran katika eneo la Jabal at-Twariq (Gibraltar).
-
Russia yasisitiza kupuuzwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran
Jun 17, 2019 04:51Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin), Dmitry Peskov ametoa radiamali kufuatia tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, Moscow haizipi umuhimu tuhuma kwamba Tehran ilihusika na tukio la kushambuliwa meli katika Bahari ya Oman.