-
'Mauaji makubwa zaidi ya watoto': Iran yalaani mauaji ya Israel na US dhidi ya watoto wa Gaza
Mar 26, 2025 03:29Jamhuri ya Kislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya halaiki ya utawala wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na kuyataja kuwa ni sehemu ya sera ya iliyopangwa ya mauaji ya kimbari yenye lengo la kufuta utambulisho wa Wapalestina.
-
UNICEF yataka kulindwa watoto wakimbizi
Jan 03, 2025 12:02Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeeleza kuwa watu 2,275 mwaka jana walipotea katika bahari ya Mediterania na kwamba aghalabu yao wanaaminika kuwa walipoteza maisha katika njia hatari za bahari hiyo khususan zile zinaoztumiwa na wafanya magendo ya binadamu kutoka Tunisia na Libya kwa lengo la kufika Italia.
-
UNICEF yazindua wito wa kukusanya dola bilioni 10 kwa ajili ya watoto wahanga wa migogoro
Dec 05, 2024 11:52Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezindua kampeni ya kukusanya dola bilioni 9.9 kusaidia mamilioni ya watoto wahanga wa machafuko na migogoro duniani kote katika mwaka wa 2025.
-
Watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule Gaza wanakabiliwa na sonona
Sep 27, 2024 03:04Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limeripoti kuwa, zaidi ya watoto 625,000 wenye umri wa kwenda shule katika Ukanda wa Gaza wanaandamwa na kiwewe, sonona na msongo mkali wa mawazo huku wakiishi katika magofu na majengo yaliyoharibiwa na mabomu ya Wazayuni.
-
UN: Watoto 3,000 katika hatari ya kupoteza maisha kwa utapiamlo Gaza
Jun 13, 2024 07:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limeonya kuwa, takriban watoto 3,000 wa Kipalestina wapo katika ncha ya kuaga dunia mbele ya jamaa zao kwa kukosa matibabu ya utapiamlo wa kiwango cha juu kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
UNICEF yataka kukomeshwa mauaji ya watoto yanayofanywa na Israel Gaza
May 14, 2024 10:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetoa mwito wa kukomeshwa mauaji ya kiholela dhidi ya Wapalestina, hasa watoto wadogo katika Ukanda wa Gaza.
-
UNRWA yaonya: Watoto wa Gaza wanakufa polepole mbele ya macho ya walimwengu
Mar 05, 2024 07:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina, UNRWA, limeonya kuhusu vifo vingi vya watoto katika Ukanda wa Gaza huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa chakula na upatikanaji wa maji salama na huduma za matibabu katika eneo hilo.
-
Facebook na Instagram zafunguliwa mashtaka kwa kuwezesha unyanyasaji wa watoto
Dec 09, 2023 02:27Jimbo la New Mexico nchini Marekani limewasilisha kesi mahakamani likiituhumu Facebook na Instagram kuwa ni "eneo lenye rutuba" kwa wawindaji watoto.
-
UN: Afrika na Asia Kusini zinaongoza kwa vifo vya watoto
Jan 11, 2023 13:27Umoja wa Mataifa umesema eneo la chini ya jangwa la Sahara barani Afrika na kusini mwa bara Asia ndiyo maeneo yanayosajili vifo vingi zaidi vya watoto kutokana na ukosefu wa vituo na taasisi za afya.
-
Ripoti: Watoto zaidi ya milioni 200 wanaishi katika maeneo ya vita
Dec 01, 2021 09:26Shirika la Save the Children limesema mamilioni ya watoto wanaishi katika maeneo yenye migogoro ya kivita na wanakabiliwa na hatari ya kifo na hali ya mchafukoge.