Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Human Rights Watch: Hali katika jela za Misri ni mbaya

    Human Rights Watch: Hali katika jela za Misri ni mbaya

    Sep 04, 2020 07:20

    Shirika la kimataifa la haki za Binadamu, Human Rights Watch limetangaza habari ya kupoteza maisha wafungwa wanne katika kipindi cha chini ya masaa 72 kwenye jela za Misri na kusema kuwa hali katika jela hizo ni mbaya hasa kutokana na kudharauliwa usalama wa kiafya wa wafungwa.

  • Jeshi la Misri laangamiza magaidi zaidi ya 70 Sinai Kaskazini

    Jeshi la Misri laangamiza magaidi zaidi ya 70 Sinai Kaskazini

    Aug 31, 2020 22:02

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa limeua magaidi zaidi ya 70 wenye mfungamano na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika operesheni za vikosi vya usalama vya nchi hiyo katika mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Sudan yataka mzozo wa Bwawa la al-Nahdha ujadiliwe na marais wa nchi husika

    Sudan yataka mzozo wa Bwawa la al-Nahdha ujadiliwe na marais wa nchi husika

    Aug 30, 2020 07:29

    Serikali ya Khartoum imetoa mwito wa kujadiliwa mzozo wa Bwawa la al-Nahdha na marais wa Sudan, Misri na Ethiopia.

  • Bunge la Ugiriki laafiki mapatano ya baharini yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri

    Bunge la Ugiriki laafiki mapatano ya baharini yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri

    Aug 28, 2020 02:59

    Bunge la Ugiriki hatimaye limepasisha mapatano yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Misri ya kuianisha mipaka ya baharini.

  • Amnesty: Misri inawanyima wafungwa haki zao kwa miaka kadhaa sasa

    Amnesty: Misri inawanyima wafungwa haki zao kwa miaka kadhaa sasa

    Aug 20, 2020 19:37

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kuziruhusu familia za wafungwa kutembea jamaa zao wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo wakiwemo watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati wa masuala ya kisiasa.

  • Ikhwanul Muslimin yalaani mapatano ya Imarati ya Israel, yasema ni usaliti dhidi ya al Aqsa

    Ikhwanul Muslimin yalaani mapatano ya Imarati ya Israel, yasema ni usaliti dhidi ya al Aqsa

    Aug 18, 2020 21:57

    Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imelaani hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • Mazungumzo ya viongozi wa Sudan na Misri kuhusu Bwawa la An-Nahdhah

    Mazungumzo ya viongozi wa Sudan na Misri kuhusu Bwawa la An-Nahdhah

    Aug 16, 2020 03:15

    Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouli amefanya mazungumzo na mwenzake wa Sudan Abdalla Hamdok kuhusiana na Bwawa la An-Nahdhah au Grand Renaissance Dam (GERD) lililojengwa na Ethiopia.

  • Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi kuhusu kifo cha al Aryan

    Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi kuhusu kifo cha al Aryan

    Aug 14, 2020 08:34

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri ifanye uchunguzi kuhusu mazingira ya kutatanisha yanayohusiana na kifo cha mmoja wa viongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin akishikiliwa katika jela ya Tora mjini Cairo.

  • Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin afia jela Misri baada ya kunyimwa huduma za matibabu

    Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin afia jela Misri baada ya kunyimwa huduma za matibabu

    Aug 13, 2020 22:26

    Mmoja kati ya viongozi wa harakati kubwa zaidi ya upinzani dhidi ya serikali ya Misri ya Ikhwanul Muslimin ameaga dunia kiwa jela kutokana na matatizo ya moyo.

  • Ethiopia yaionya Misri kuhusu mpango wake wa kuanzisha kituo cha kijeshi Afrika Mashariki

    Ethiopia yaionya Misri kuhusu mpango wake wa kuanzisha kituo cha kijeshi Afrika Mashariki

    Aug 13, 2020 09:39

    Ethiopia imetoa onyo kuhusu uamuzi iliochukua Misri wa kutaka kuanzisha kituo cha kijeshi katika eneo la Afrika Mashariki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS