Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Misri

  • Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa Libya yafichua: Kikosi cha jeshi la Ufaransa kinamsaidia Haftar

    Aug 22, 2019 22:01

    Maafisa wa Serikali ya Mwafaka wa Kitaifa ya Libya wamefichua kuwa kundi moja la jeshi la Ufaransa linalomsaidia jenerali mstaafu Khalifa Haftar limewajengea wapiganaji wa kiongozi huyo muasi kituo cha kurushia ndege zisizo na rubani katika bandari ya mafuta ya al Sidr huko kaskazini mwa Libya.

  • Watu wasiopungua 19 waaga dunia Cairo Misri kufuatia mlipuko uliosababishwa na ajali

    Watu wasiopungua 19 waaga dunia Cairo Misri kufuatia mlipuko uliosababishwa na ajali

    Aug 05, 2019 03:43

    Wizara ya Afya ya Misri imetangaza kuwa, kwa akali watu 19 wameuawa mapema leo na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kutokea mripuko nje ya Taasisi ya Taifa ya Saratani katikati mwa mji mkuu wa Cairo.

  • Amnesty: Wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula, wanaishi katika hali mbaya

    Amnesty: Wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula, wanaishi katika hali mbaya

    Jul 31, 2019 22:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, wafungwa 130 wa Misri wanafanya mgomo wa kula katika mojawapo ya jela za nchi hiyo.

  • Matamshi aliyotoa waziri wa Misri Canada kwamba wakosoaji wa serikali 'watakatwa vichwa' yazusha taharuki

    Matamshi aliyotoa waziri wa Misri Canada kwamba wakosoaji wa serikali 'watakatwa vichwa' yazusha taharuki

    Jul 25, 2019 02:26

    Matamshi yaliyotolewa nchini Canada na waziri mmoja wa serikali ya Misri ya kuwatisha wapinzani wa serikali ya rais Abdel Fattah el Sisi wa nchi hiyo yamezusha taharuki miongoni mwa wananchi.

  • Misri yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3 mingine

    Misri yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi 3 mingine

    Jul 22, 2019 02:29

    Rais Abdul-Fattah al-Sisi wa Misri ametangaza kuongeza muda wa hali ya hatari nchini humo kwa kipindi cha miezi mitatu mingine.

  • Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Makumi ya magaidi waangamizwa na jeshi la Misri eneo la Sinai

    Jul 20, 2019 02:54

    Jeshi la Misri limetangaza kuwa limeua magaidi 20 katika operesheni ya vikosi vya usalama vya nchi hiyo kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.

  • Mwanasiasa nchini Misri: Nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Iran na Uturuki

    Mwanasiasa nchini Misri: Nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Iran na Uturuki

    Jul 13, 2019 02:43

    Mwanadiplomasia na mgombea wa zamani wa uchaguzi wa rais nchini Misri, Abdullah al-Ashaal amezitaka nchi za Kiarabu zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki.

  • Misri kuwauzia wageni uraia wa nchi hiyo kwa dola elfu kumi

    Misri kuwauzia wageni uraia wa nchi hiyo kwa dola elfu kumi

    Jul 08, 2019 06:57

    Bunge la Misri limekubaliana na mpango wa serikali ya nchi hiyo kwa kuwauzia uraia wageni kwa dola elfu kumi za Kimarekani licha ya baadhi ya wabunge kupinga suala hilo.

  • Ikhwanul Muslimin ya Misri yatangaza mikakati mipya baada ya kifo cha Morsi

    Ikhwanul Muslimin ya Misri yatangaza mikakati mipya baada ya kifo cha Morsi

    Jun 30, 2019 21:00

    Kundi la Ikhwanul Muslimin la Misri limetangaza mikakati yake mipya baada ya kufariki dunia Mohammad Morsi, mwanachama mwandamizi wa kundi hilo ambaye alikuwa rais wa kwanza wa Misri kuwahi kuchaguliwa kidemokrasia.

  • Mwana wa Morsi ahadithia alivyopewa maiti ya baba yake, asisitiza ameuawa

    Mwana wa Morsi ahadithia alivyopewa maiti ya baba yake, asisitiza ameuawa

    Jun 24, 2019 22:00

    Abdullah Morsi mwana wa kiume wa aliyekuwa rais wa Misri Muhammad Morsi aliyefariki dunia siku chache zilizopita akiwa kizimbani kusikiliza kesi iliyokuwa ikimkabili amehadithia jinsi alivyokabidhiwa mwili wa baba yake na jinsi alivyoaga dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS