-
Waandishi 100 wa habari waahidi kususia mkutano wa Mohammad Bin Salman
Nov 26, 2018 01:15Waandishi wa habari 100 nchini Misri wametia saini hati ya kususia mkutano wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia atakapotembelea nchi hiyo.
-
Duru mpya ya mazungumzo kati ya Misri na Ethiopia kuhusu bwawa la An Nahdhah
Nov 19, 2018 04:00Viongozi wa Misri wameripoti kuhusu kuanza mazungumzo mapya kati ya nchi hiyo na Ethiopia kuhusu bwawa la An Nahdhah.
-
HRW: Misri inawazuilia kusikojulikana makumi ya watetezi wa haki za binadamu
Nov 18, 2018 10:57Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema vyombo vya usalama nchini Misri vimewatia nguvuni na kuwazuilia kusikojulikana makumi ya watetezi wa haki za binadamu tangu mwezi uliopita wa Oktoba hadi sasa.
-
Misri yafuta safari ya waziri wa Brazil nchini humo kutokana na Quds
Nov 06, 2018 04:34Misri imesimamisha safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil aliyetazamiwa kuitembelea nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika wiki hii, kulalamikia kitendo cha Rais Mteule wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake ulioko Israel katika mji wa Quds Tukufu.
-
Sheikh wa Azhar alaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Wakristo nchini Misri
Nov 03, 2018 10:58Sheikh Mkuu wa al Azhar amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga Wakristo wa Kikopti nchini humo.
-
Majina 164 ya wanachama wa Ikhwanul Muslimin yawekwa katika orodha ya makundi ya kigaidi Misri
Oct 29, 2018 01:10Mahakama moja ya mjini Cairo Misri imeyaweka majina 164 ya viongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin ya nchi hiyo katika orodha ya makundi ya kigaidi.
-
Jeshi la Misri laua magaidi 13 katikati mwa nchi hiyo
Oct 28, 2018 01:11Wizara ya Mambo ya Ndani ya Misri imetangaza kwamba maafisa wa usalama wa nchi hiyo wamewaua wanachama 13 wa kundi moja la kigaidi katikati ya nchi.
-
Sudan yaondoa marufuku ya uingizaji mazao ya kilimo kutoka Misri
Oct 26, 2018 04:41Rais Omar al Bashir wa Sudan jana alitoa dikrii na kuondoa marufuku ya miezi 17 ya kuzuia kuingizwa nchini humo mazao ya kilimo kutoka Misri.
-
Mripuko wa bomu Sinai, Misri waua wafanyakazi watatu
Oct 25, 2018 10:22Wafanyakazi watatu raia wa Misri wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea leo Alkhamisi katika eneo linalokumbwa na misukosuko na ukosefu wa usalama la Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Misri yajiandaa kutuma jeshi nchini Libya
Oct 22, 2018 11:19Duru za habari zimetangaza kuwa, serikali ya Misri imechukua uamuzi wa kutuma jeshi katika nchi jirani ya Libya kwa ajili ya kulisaidia jeshi la Khalifa Haftar linalojulikana kama Jeshi la Taifa.